Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
hahahahahah kumbe wafatilia michango yetu eeeh?? Evelyn Salt anajua hilo ??? nimebadilika nn?? mie naona niko sawa.....
umekuwa very serious ,umesahau kwenye ile thred ya lara 1 tulivyokuwa tunapandishiana CD au unajitoa ufahamu? halafu si ndo wewe uliniuliza halafu tutakula hiyo dushulele?
anyway Evelyn salt mbona naye alikuwa anarusha mawe gizani ,anafahamu sana.
bel monte lounge is more elegant. Hapo savannah lounge makelele tu na kiyoyozi hakikolei. Hebu jivute nakuja.
Na Bado,.............. Mmezidi sana kutuonea nyie mijanaume.
Sasa mnataka hizo pesa zenu mkatumie na nani!!!!1
Weka Mshahara Mezani ili tuutumbue.
tena bel monte kunafaa bahili kama wewe. Manake.ni cash mbele all the time. Kuna mijitu bill ikija inaenda toilet! Mppphhhhhh!
umekuwa very serious ,umesahau kwenye ile thred ya lara 1 tulivyokuwa tunapandishiana CD au unajitoa ufahamu? halafu si ndo wewe uliniuliza halafu tutakula hiyo dushulele?
anyway Evelyn salt mbona naye alikuwa anarusha mawe gizani ,anafahamu sana.
duuuh kumbe hata wewe una inferiority complexities...eti anitumie...kumbe umeshajiweka mwenyewe kwenye level za instrument..ya kutumika..daahh waht a pity..wewe umepewa bure nawe toa bure..ingekua mwisho wa mwaka au mwezi unalipia kodi hiyo kwetu..ni kweli lakini daaaah.....Tumeshaambiwa tuache kuwahonga wanaume zetu.
Sasa na yeye anitumie burebure!!!!!!!!!
Haiwezekani joyness
Hahaha....jamani Madame B mwaka wa shetani huu tutabakia mifupa lol!
ha ha ha ha ha halafu wewe mbinti,,,,nimerelax sana mbona ,umeshawahi kuniona humu nimekasirika?hahahah shem bana....chill..ilikuwa kuchangamsha jamvi tu, nothing serious....
duuuh kumbe hata wewe una inferiority complexities...eti anitumie...kumbe umeshajiweka mwenyewe kwenye level za instrument..ya kutumika..daahh waht a pity..wewe umepewa bure nawe toa bure..ingekua mwisho wa mwaka au mwezi unalipia kodi hiyo kwetu..ni kweli lakini daaaah.....
ha ha ha ha ha halafu wewe mbinti,,,,nimerelax sana mbona ,umeshawahi kuniona humu nimekasirika?
Vipi MWANIITA! NIITA! NACHEKI GAME YA ARSERNAL HUKU MNANIKATA STIMU!!!!!!!! Au hamjui stimu zimelipiwaaaa!!!!!!! Mwenyekiti wa Liberal woman nimeingia sasa ulingoni!!!!! NANI ANALETA UBISHI!!!!!!!!!!
kazi huna? alaaaah...chapa ilale mpaka ngoma itambae hiyooo..kama unataka hela za matumizi date na saccos, au bank...we wa wap....bhanaaaa.......Nakuja kama hivi:
RED: Nyie wanaume siku zote mkikaa huko vipembeni mnatusema mara hv mara vile, sasa nimeamua kukurahisishia msemo ili uteleze tu ,
GREEN: Hata kama siilipii Vat wewe unafikiri hela ya kununua Cream au Pafyumu nitaipata wapi, Ungenikuta mchafu ungenitaka???? Kwa hiyo unataka mwaka mzima unigegede bureeeee ati kwa kuwa sio sabuni hii kusema itaisha, Thubutu yako.............. Hapa Kama huna Pesa Unachapa Lapa kwenu.
sikumbuki!! labda nimwulize shostito evelynsalt....
We mleta mada umesahau point muhimu Dushelele naingiziwa mimi!!!!!!!! Well Yes hivo yote ni haki yangu!!!!!!! Mwanamke usipohongwa ujue game yako iko chini sanaaa! Hujathibitishwa na TBS!!!!!
Mnafikiri kuhongwa kazi ndogo!!!!!!!!!! Ile nayo TALENT atiii ya kuchomoa hela za watu wakijiona!!!!!!! Wapi tuzo yangu ya NOBEL kwa Wahongaji!!!!!!!!!!
hahahahah bora umekuja...eti asakuta same anasema ww ni mzee wa chop chop monie!!! inaionaje hii tuhuma??
hivi wewe hiyo dushulele inakupaga mateso tu?We mleta mada umesahau point muhimu Dushelele naingiziwa mimi!!!!!!!! Well Yes hivo yote ni haki yangu!!!!!!! Mwanamke usipohongwa ujue game yako iko chini sanaaa! Hujathibitishwa na TBS!!!!!
Mnafikiri kuhongwa kazi ndogo!!!!!!!!!! Ile nayo TALENT atiii ya kuchomoa hela za watu wakijiona!!!!!!! Wapi tuzo yangu ya NOBEL kwa Wahongaji!!!!!!!!!!