hii inawahusu wadada!

hahahah mnatupaka mafuta kwa mgongo wa independent woman ili msiombwe hela....hakuna cha independent woman hapa!!!

Jamani wang'ang'ania hela zangu kwani mie ndo nilokuzaa....hizi zimetafutwa na wala hazijaokotwa
 
bill ikiwekwa mezani analamba vidole kabisaa. Akiibuka hapo ujue hamna hata change ya kutoa tip. Achana na mwanaume bahili, bora ukutane na nguchiro mwenye njaa aisee.

ha ha ha ha! duh!dunia ina mambo ,,,,,, inamaana huyo mtu hamiliki wallet.....?
heri ya mwaka mpya lady.
 
bill ikiwekwa mezani analamba vidole kabisaa. Akiibuka hapo ujue hamna hata change ya kutoa tip. Achana na mwanaume bahili, bora ukutane na nguchiro mwenye njaa aisee.

Hao wapare wenzako ndio zao hizo....midole ipo spesheli kabisa kugundua noti kama kasomea shule ya vipofu...
 
mie sifanyi shopping uchafuni na wala sili uswazi. Sasa nguo.za tsh millioni kadhaa tutahesabuje hela? Ebu nipishe mieee!

We unadhani kila mahali unachanja kadi....zaidi hapa naona waongea maisha ya kwenye movies kuchanja bongo!!! mshahara wenyewe wapanga mstari kama mfungwa wa Segerea kusubiri Dona na Vyama vingi!!
 
hahahah mnatupaka mafuta kwa mgongo wa independent woman ili msiombwe hela....hakuna cha independent woman hapa!!!
lol! kumkana gani huku mtani cako jamani.
bora wewe, watu8 ananiuzi kuhesabia mfukoni. Heri ya mwaka mpya na kwako rafiki

watu8 alisema amewatengenezea ATM kinadada wenye mlengo wa kina Lara1, ciello, evelyn salt & co ili wachop his money vizuri sasa nashangaa hapa anageuka
aksante ,nashukuru nimeuona nikiwa na afya tele.
 
lol! kumkana gani huku mtani cako jamani.

watu8 alisema amewatengenezea ATM kinadada wenye mlengo wa kina Lara1, ciello, evelyn salt & co ili wachop his money vizuri sasa nashangaa hapa anageuka
aksante ,nashukuru nimeuona nikiwa na afya tele.

mkuu usiwasikize hawa wanataka kunichokora tu.....
 
ha ha ha ha ha! ila sema la ukweli mkuu kuzisaka hizo mahela ni muhimu sana aseeeeeh! ili na matumizi nayo yasiwe ya mawazo hili wimbi la hawa wanawake kuukana uindependent woman linapanda kila kukicha.....mwisho wa siku hawa dawa yao ni kuwalea tu.
 
hahahahah mtani bana, mbona jigga anamnunulia zawadi beyonce?? kwani biyo si independent woman?? ama jigga kamzaa biyo??
Jamani wang'ang'ania hela zangu kwani mie ndo nilokuzaa....hizi zimetafutwa na wala hazijaokotwa
 
ha ha ha ha ha! ila sema la ukweli mkuu kuzisaka hizo mahela ni muhimu sana aseeeeeh! ili na matumizi nayo yasiwe ya mawazo hili wimbi la hawa wanawake kuukana uindependent woman linapanda kila kukicha.....mwisho wa siku hawa dawa yao ni kuwalea tu.

he he he he I LOVE YOU!!!!!
 
hahahah atoe helaaaaaaa.....
lol! kumkana gani huku mtani cako jamani.

watu8 alisema amewatengenezea ATM kinadada wenye mlengo wa kina Lara1, ciello, evelyn salt & co ili wachop his money vizuri sasa nashangaa hapa anageuka
aksante ,nashukuru nimeuona nikiwa na afya tele.
 
hahaaha au sio wanaleta papuchi uikojoleshe lol....wanawake bana watamu!!!

ni watamu if you know how to deal with them ,otherwise usipowaangalia mkuu wanakuwaga ni wachungu kuliko shubiri
 
Hao wapare wenzako ndio zao hizo....midole ipo spesheli kabisa kugundua noti kama kasomea shule ya vipofu...

hehehe, kumbe weeh mpare eeh! Huna dili aisee, kitu mchaga aisee, yaani hahesabu hela. Don Mangi hureeeee! (paw usisome hapa baba)
 
Last edited by a moderator:
Jamani wang'ang'ania hela zangu kwani mie ndo nilokuzaa....hizi zimetafutwa na wala hazijaokotwa

Una maneno sana bwana weeee!!! Ila pesa ndo mwisho wa maneno yote...
 
We unadhani kila mahali unachanja kadi....zaidi hapa naona waongea maisha ya kwenye movies kuchanja bongo!!! mshahara wenyewe wapanga mstari kama mfungwa wa Segerea kusubiri Dona na Vyama vingi!!
baba usiseme tuna shida., sema nina shidaaaa! Huamini kuna dunia nyingine wanaishi watu wengine (source:kala jeremiah)
 
ha ha ha ha ha! ila sema la ukweli mkuu kuzisaka hizo mahela ni muhimu sana aseeeeeh! ili na matumizi nayo yasiwe ya mawazo hili wimbi la hawa wanawake kuukana uindependent woman linapanda kila kukicha.....mwisho wa siku hawa dawa yao ni kuwalea tu.

Hahah ni kweli mkuu pesa sabuni ya Roho...yaani mwaka huu lazima nifunge ATM mji mzima...kadi unakuja chukua kwangu, utaona nitavyokua maarufu.
Nitamkodi mzabzab na mpwa wangu Boflo kufanya hiyo makitu ifanikiwe...
 
sasa na ulizitafuta za nini? Tumia hela ikuzoee kaka!
hapo umenikumbusha documentary moja ya mabilionea wa arabuni( filth life of the rich billionea of the middle east) jamaa anakuambia we dont put money in the bank ,we find it we spend it.....ha ha ha ha ha chezea visima vya mafuta wewe.
hahahah atoe helaaaaaaa.....

ha ha ha ha ha leo atakomaje humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…