Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

Mama ni faraja yetu Sisi Watanzania
 
Yawezekana wewe ndio mchemkaji.
 
Ningeshangaa kama na 'Genius' Wewe usingenielewa katika hili. Werevu kama Wewe mpo wachache mno hapa JamiiForums. Hongera ( Heko ) Ndugu.
 
Hiii ni awamu ya 5 kipindi cha pili hakuna awamu ya 6 ila kuna Rais wa 6 yupo pale kwa Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi hiyo iliyotungwa mwaka 1977
Safi sana Ndugu yangu kwa huu Ufafanuzi wako tena wa Kimantiki kabisa juu ya hili.

Kinachonishangaza walio karibu nae Rais Samia wanamuogopa Kumwambia ukweli huu halisi.

Kwa Kuendelea Kwake kusema ni Rais wa Awamu ya Sita naanza kuwa na Mashaka nae na Uelewa.
 
Kwani awamu zinakuwa defined na sheria gani hapa tz
 
Hovi tofauti ya HAYATI na MAREHEMU ni nini vile

Kwani nimisema maehemu magufuli ntakosea?
 

Mkuu binafsi sipo pamoja na huyu mama sijui nani alimponza kutuaminisha kuwa tupo awamu ya sita?!
 
Hovi tofauti ya HAYATI na MAREHEMU ni nini vile

Kwani nimisema maehemu magufuli ntakosea?
Pumbavu Hayati hupewa sana Public Figures ( na hasa hasa ) Marais ( Watawala )

Jambo dogo tu linakushinda kulijua je, hii Mada inayohitaji Akili Kubwa Kuijadili utaweza kweli?
 
Tano.... sita .... does it matter really? Kinachohitajika ni watu kuwa na shughuli za kujipatia kipato chako cha halali ili uwe wa maana katika dunia hii.
 
Article 37, subsection 5 states:

Where the office of President becomes vacant by reason of death, resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity…then the Vice-President shall be sworn in and become the President for un expired period.

Rais si mtu rais ni taasisi huyu anatumikia kipindi kilichobaki cha awamu ya 5 huyu si electoral President, huyu ni Rais kwa mujibu wa katiba kifungu cha 37 ibara ndogo ya 5 ..
 
Hivi kwanza kabla ya kuandika maelezo marefu haya si ungelianza na nini maana ya awamu? Maana sisi wengine tuna ufahamu mfupi na hata hatukumbuki ni nani alieanza kulitumia neno hili serikalini. Pia ingelisaidia kama ungelituelimisha kuwa katika katiba ya tanzania kuna kipengele chenye kutaja neno awamu na kama inafafanua, kama yalivyofafanuliwa mambo mengi ya serikali, awamu ni muda gani?

Nadhani ungelianza hapo kwanza halafu labda wengine tungelikuja na kujumuika katika mjadala wako wa awamu ya tano vs awamu ya sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…