Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,962
- 22,330
Mama ni faraja yetu Sisi WatanzaniaMama anasisitiza kuwa hii ni awamu ya 6.
Nchi hii ilipata mapinduzi matukufu na muungano.
Kusanyo la kodi kwa sasa ni 1.9trillion kwa mwezi
Industrial park ni lazima
Kodi sio shuruti wala kutumia nguvu
Expatriates wapewe vibali bila kuadhiri wazawa
Usajili wa wawekezaji uharakishwe
Maongezi ya miaka 6 yanaenda kukamilishwa kwa vyovyote vile.
Waliosema Magu katangulizwa atawatafuta, ila wanaosema ni korona wako free ingawa yeye kasema ni moyo.
Kazi iendelee.