interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Siyo kila kitu lkn ktk Mke ni Mungu anahusika 100% maana ananena ktk METHALI kuwa "Mali na utajiri Mtu huweza kujipatia kwa Baba yake lkn Mke mwema hutoka kwa BWANA/MUNGU"
Sio kila kitu Mungu anapanga Mkuu. Ukilijua hilo utaishi kwa tahadhari