Hii inatafsiri gani kwa mke

Hii inatafsiri gani kwa mke

Mkuu ukioa bkra akawa anachepuka jitathmin kuna shida kwako kama aliweza kuilinda mda wote mbali na vishawishi kedekede leo aje kwako then achepuke ni ngum
Yani nilikuwa namaanisha akianza kuchepuka ni hatar sana coz anakutana na mitalimbo tofaut na zenye ladha tofauti so atataka kuonja radha ya mitalimbo mingine apo sasa ndio ataanza kukudharau na kukuona huna maana
 
Kuna mahali wewe kama mwanaume unazingua, huwa haianzii from no where hiyo.
 
Hata hii sampuli ni keno pia. Usiombe akaonja cha nje....utatamani uchimbe chini, ujifukie!!!

Normally hawa viumbe ni wa ajabu sana!! "Nusu binadamu, nusu satan..."
Oa mwanamke bikra hutakuja juta Mkuu.

Mwanamke anayefall in love for the First time. She act like idiot. Anaweza hata kutukana ndugu zake kwa sababu yako but hao wengine kwa kweli ni tabu
 
Yani nilikuwa namaanisha akianza kuchepuka ni hatar sana coz anakutana na mitalimbo tofaut na zenye ladha tofauti so atataka kuonja radha ya mitalimbo mingine apo sasa ndio ataanza kukudharau na kukuona huna maana

Ukiona hivyo unamatatizo mkuu.
Wewe umehadithiwa mimi naongea kwa uzoefu.

Bikra ukimpenda na kumjali hawezi kutoka. Na unageuka kuwa Reference nzuri kwake. Lakini Hawa wengine hata umfanyie nini hawez rizika.

Mind you that upendo wa kwanza ndio halisi huo wa pili ni bandia.
 
Hata hii sampuli ni keno pia. Usiombe akaonja cha nje....utatamani uchimbe chini, ujifukie!!!

Normally hawa viumbe ni wa ajabu sana!! "Nusu binadamu, nusu satan..."

Hata akionja haina tabu. Ataonja atarejea kwa mnyama. Bikra usiichukulie poa.

Wanawake hukumbuka wanaume watatu.
1. Baba yake
2. Aliyemtoa Bikra
3. Aliyemzalisha.

Na hao hao watatu ndio huwapa maana ya maisha hao wanawake
 
Bikra ndiyo malezi bora aliyofunzwa na wazazi wake?
Oa mwanamke bikra hutakuja juta Mkuu.

Mwanamke anayefall in love for the First time. She act like idiot. Anaweza hata kutukana ndugu zake kwa sababu yako but hao wengine kwa kweli ni tabu
 
Hapo nimekuelewa mkuu
Ukiona hivyo unamatatizo mkuu.
Wewe umehadithiwa mimi naongea kwa uzoefu.

Bikra ukimpenda na kumjali hawezi kutoka. Na unageuka kuwa Reference nzuri kwake. Lakini Hawa wengine hata umfanyie nini hawez rizika.

Mind you that upendo wa kwanza ndio halisi huo wa pili ni bandia.
 
Bikra ndiyo malezi bora aliyofunzwa na wazazi wake?

Hata kama hajafunzwa mwanamke mwenye bikra ni rahisi kumfundisha na kumshape vile unavyotaka.

Ukiona wanawake wameharibika ujue waliowatoa hizo bikra ndio chanzo. Na ukiona mwanamke ni wife material hapo lazima kuna mchango wa aliyemtoa bikra.

Kama uliwahi pata bikra na kuishi naye hata mwaka mmoja utaelewa ninachokuambia.

Mwanamke bikra alafu awe anakupenda atapenda kila kitu chako. Hata kama ni vitu hatari. Nazungumzia mwanamke aliyepevuka kuanzia miaka 16.

Lakini hawa dada zangu wasio na bikra utamfundisha nini asichokijua. Mara nyingi huwa waalimu. Huwezi mfundisha mbwa mzee mbinu mpya.

Mwanamke bikra ni dhahabu wasioijua vijana wa siku hizi lakini wazee wanajua ndio maana wanaoa kila kukicha.

Bikra hata kiroho inasafisha nyota lakini used ni mikosi mitupu.

Natamani watu waelewe jambo hili.

Ingawa hata wanawake wengine ni wazuri lakini wanawake bikra ni bora zaidi mara elfu.
 
Changu ni changu, chako chota kwingine! Unajua ni kitabu gani sentensi hiyo inapatikana?
 
Utaendelea vp kuishi na Mtu anayekuficha mipango yake, kwanini usiwe huru kuliko kuteswa na Mtu ulikutana naye ukubwani [emoji848]
 
Safi sana Mama
Mwanamke mzuri ni yule asiye na majeraha, ni kama mnyama yeyote akijeruhiwa!

Tuko wasiri, visasi na watunza maumivu sometimes ni heri wale wapayukaji kama mange maana sumu nyingi anazitoa na km ni mtu wako unajua kuwa nini kimemuudhi,,,
 
Mwanaume kamili anajua kutofautisha kitu bora na dhaifu. Kitu bora anakipa heshima na kukilinda. Lakini kitu dhaifu anakistahi na kukifariji.

Mwanamke mwenye bikra ni mwanamke bora. Wanaume kama sisi tunawaheshimu na Kuwalinda. Tunahakikisha tunawapa furaha.

Hata hivyo tukikutana au ikitokea tukaoa wanawake wasio na bikra na ambao wamezalishwa tunawastahi na kuwafariji lakini hatuwapi heshima wayostahili wanawake bora.

Mwanamke bikra achana naye mkuu. Naongea kwa uzoefu. Akikupenda amekupenda na hana historia nyuma ya mapenzi zaidi yako.

Ni kama mtoto mdogo unaweza mwambia hii ni nyeusi kumbe ni nyeupe akakubali. Atakupenda daima dawamu na atakuamini kama mzazi wake.

Hao wanawake wengine nawakubali ingawa si kama mwanamke bikra. Msimamo wangu upo hivyo na ndio unafanya nione mapenzi yanaraha yake ukiwa na mwanamke uliyembikiri.

Mwanamke Bikra hana reference au vitabu vya kuvirejelea. Wewe ndio mwandishi wa kwanza kwenye moyo wake. Wewe ndio utakuwa kitabu cha rejea siku mkiachana.

Tofauti na kuoa mwanamke asiye na bikra kila unachokifanya anarejelea Ex wake.

Mbaya zaidi Ex wake ajue mahaba kama mimi JokaJeusi. Mzee wa kupeti peti, Mzee wa kubembeleza. Mzee wa kumchezesha mtoto samkololo. Mzee wa kumsifia hata kana akijamba unamwambia napenda unavyojamba Darling. Yaan mpaka Ubo.lo umedinda. I like it. then unamchapa kibao mshenzi cha matako.

Mwanamke bikra ni sawa na plain paper mpya ambayo haijaandikiwa. Wewe ndio mwandishi. Unaandika wewe kwa kadiri utakavyoona. Kama mtaachana. Yule anayekuja ataandika juu ya maandishi yako na maandishi hayataeleweka kwani yatachanganyana na yako. Hivyo hatakupenda kama alivyompenda wa awali.

Sijui kwa nini wanaume hawaelewi hili.. Kazi kudanganywa na wanawake. Eti mwanamke akikuacha amekuacha. Hahaha.
Ikiwa Mungu hajakupangia huyo Bikra kuwa Mke wako sahihi ktk maisha ni sawa na kutwanga tu maji kwenye kinu.
 
Hana sababu ya kufuta. Ulivyolelewa na mama yako si kila mtu kalelewa hivyo, kuna waliotupwa jalalani wakaokotwa na kutunzwa kwenye vituo vya kulelea yatima.
Kwa hiyo unakubaliana na kauli yake ya kuwa hakuna mwanamke mwema
 
Kwa hiyo unakubaliana na kauli yake ya kuwa hakuna mwanamke mwema
Ikiwa katika maisha yake hajawahi kukutana na mwanamke mwema utalazimisha akubali hisia zako kuwa wapo?
Ikiwa sijawahi kukutana na mwanajeshi albino, hakunifanyi kuwa mtu wa hovyo.
 
Ikiwa katika maisha yake hajawahi kukutana na mwanamke mwema utalazimisha akubali hisia zako kuwa wapo?
Ikiwa sijawahi kukutana na mwanajeshi albino, hakunifanyi kuwa mtu wa hovyo.
Swali hili co lake mkuu lakwako ucendelee kumjibia jibu na wewe unakubaliana nae kuwa hakuna mwanamke mwema jibu rahisi tu hapo
 
Bikra kwa Zama hizi hakuna na kama Zipo ni chache sana
 
Back
Top Bottom