Hii inaruhusiwa?

Hii inaruhusiwa?

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Tumezoea kwenye Mialiko au dhifa fulani wageni kuambiwa muwe mme vaa vazi fulani sasa Mgeni aliekuja na vazi la namna hii ni sahihi kweli tena Ikulu!


ton2.jpg
 
DHARAU

"Dharau" za Ki-English people kwa Ze African world hazitaisha kamwe!!
 
naraisi wetu anachekelea...hizi ni zarau ikulu kama anaenda kwa bibi yake chenjiiiiiiiii
 
ikulu haiwezi kuwa sehemu ya heshima automatically bali wakazi wake ndio huifanya iheshimike!
 
Bibie huoni Mke wa Tony alivyovaa?hebu siku jaribu kualikwa sehemu hiyo na uvae hivyo uone hata kama utanusa geti la hilo kasri!

Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa?
 
Tatizo ni CCM tu, Watanzania tukiweza kuliondoa tatizo hili tutapiga hatua kwa haraka mno

Jaribuni bahati yenu kwani Watanzania tulio wengi hatuitaki chadema, kiishie hukohuko Kilimanjaro.
 
Sioni tatizo, kweni ikulu kuna official dress...... Inatokana na huyo mgeni yuko official visit or holidays na akaamua kumsalimu JK
 
Kuna tatizo gani huyo mama kavaa pedo ndania na gauni lake kapendeza nguo ya heshima..wewe nauna unahisi ni mapaja.....duuuuuu
 
Back
Top Bottom