Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,167
If he was somebody mbona alikuwa anaomba vibarua vya kazi alipokuwa chuo. Ukweli unauma. Ukisoma story jamaa walianza relationship wakiwa chuo. Na kabla ya kuanza kibarua jamaa kipatochake kilikuwa mkopo wa chuo kikuuObama was not a nobody jmn ukweli uwekwe wazi,both Obama and Michele were professional lawyers,u can imagine the potential he had enzi hizo za ubaguzi mtu mweusi anasoma Harvard,
magari walikuwa nayo and shortly after their marriage they bought a house unadhani ni nobody hao??there was potential... Michelle nae kaenda shule hatari...and uzuri she's an elite and a woman pia.,
wanaume na wanawake wote ni vyema tukajiandaa na maisha ya baadae,maandalizi yanaanzia ujananii...
Shida ni pale utakapo simama kama uboma huku mwenzako akilizake zinawaza kupita tu na kukuchuna.T
True, amuwezi kufikia level za kina Obama Kama ni mmoja tuh anayepigania ilo penzi, lazima achoke ata awe na upendo wa aina gani,
Simama kama mwanaume wa kweli ili upate nawe kulia kama Obama,...
Hahaha...kuomba vibarua vya kazi akiwa chuoni maana yake ni nobody?If he was somebody mbona alikuwa anaomba vibarua vya kazi alipokuwa chuo. Ukweli unauma. Ukisoma story jamaa walianza relationship wakiwa chuo. Na kabla ya kuanza kibarua jamaa kipatochake kilikuwa mkopo wa chuo kikuu
Watu wengi wanafanya hivo baada ya kuumizwa. Mtu ambaye hajawahi kuumizwa hawezi fanya hivo siku ata moja. Moyo wa mwanaume kunamuda unakufa ganzi. Anakuwa anawaza apate mtu wa kumtuliza tu angalau ata kwa muda huku akipanga mipango mingineNaamini ii hali yawadada kuwa ivi imetokana na uongo ulokisiri kwa wanaume,
Unamkuta mwanaume anaenda mtokee mdada tena wale wadada walolelewa, wenye maadili yao unamdanganya na kumrubuni vyakutosha, utakuwa mtu hukuwa ili tuh umpate, mdada wa watu ataamini na kuwa nawewe kitakochofata ni mtihani tuh, kumuumiza na kumliza kila siku ivi apo unatengeneza nini unategemea ataekuja baada yawewe atamtreat vipi, lazima alipize maumivu na kutkea ayo uloyasema,
Wanaume muwe na ukweli jamani, mnakuwa waongo Sana na mnataka wakina michelle
[emoji23] [emoji23] [emoji23]You can say that again sweetheart.
Eactly,be Obama and you'll meet yo Michelle, tatizo hawa ndugu zetu wao wanaonaga wanawake tuu ndio tuna mabalaa ila wao ndio wamekamilika, yaani wao ni malaika waliopo duniani.
Huwa najiuliza ni kwanini wanaume siku hizi wamekuwa walalamishi sana hata sipati majibu,what a generation!!!
Ha ha haHahahaha
Halafu ujue wabongo tuna maneno yanakera kweli kweli
Shida ni pale anaposhindwa kujua ni effort kiasi gani unatumia ili maombo yaende sawa. Mwisho wasiky unaishia tu kuwa desperateHahahaha
Halafu ujue wabongo tuna maneno yanakera kweli kweli
Nawaza tu. But hakuna proof yoyote ya kuonyesha he was somebody. Ukipata muda soma kitabu kinaitwa Barack obamaHahaha...kuomba vibarua vya kazi akiwa chuoni maana yake alikuwa nobody?
Ujue hata kizungu mtu akikwambiaHa ha ha
And unafikiri wanawake hawaumizwibali ni nyie wnaume tu!! Wht a lame excuse!!Watu wengi wanafanya hivo baada ya kuumizwa. Mtu ambaye hajawahi kuumizwa hawezi fanya hivo siku ata moja. Moyo wa mwanaume kunamuda unakufa ganzi. Anakuwa anawaza apate mtu wa kumtuliza tu angalau ata kwa muda huku akipanga mipango mingine
Yani mtu ni mlevi na kurudi asubuhi juu, ana michepuko kibao, hajali hisia za manzi wake, halafu anamtaka mwanamke kama Michelle...... msomi, humble, loving, patient, faithful, trustworthy, supportive, mpishi mzuri, mama bora kwa watoto .......hahahahaYou can say that again sweetheart.
Eactly,be Obama and you'll meet yo Michelle, tatizo hawa ndugu zetu wao wanaonaga wanawake tuu ndio tuna mabalaa ila wao ndio wamekamilika, yaani wao ni malaika waliopo duniani.
Huwa najiuliza ni kwanini wanaume siku hizi wamekuwa walalamishi sana hata sipati majibu,what a generation!!!
Si ndio hapo sasa, wajue tu wanapata wa kufanana nao, yaani hao pasua kichwa wanaowapata ndio size yao kulingana na wao walivyo. Hivyo wasikae kulaumu tu.Yani mtu ni mlevi na kurudi asubuhi juu, ana michepuko kibao, hajali hisia za manzi wake, halafu anamtaka mwanamke kama Michelle...... msomi, humble, loving, patient, faithful, trustworthy, supportive, mpishi mzuri, mama bora kwa watoto .......hahahaha
Hahaaaa!! Mnaogopa kuoa sio kwasababu ya wanawake, just because yo not man eneogh to handle the marriage. Jiulize kwanini unafikiri wamekuwa mwiba? Mwiba hautembei hadi wewe uufuate uukanyage kwahiyo haupaswi kuulaumu bali ujilaumu kwanini ulikuwa peku hadi ukanyage mwiba.Kunasiku wallet itatoboka. Na hapo ndipo utakaposimangwa na kuitwa mwanaume suruali. Maisha ya sasa dada zetu wengi wamekuwa mwiba. Hali inayopelekea na vijana wengi kuogopa kuoa na kuwa committed kwenye relationship
Kama hauko hivyo huwezi kukutana nae.Hivi dunia ya leo huwezi kuona. She is very humble. I wish siku moja mungu atende miujiza niokutane na mwanamke kama huyu. Sijui ata wanapatikanaga wap aisee[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
View attachment 460170View attachment 460171View attachment 460172View attachment 460173View attachment 460174View attachment 460175View attachment 460176View attachment 460177View attachment 460178
Kweli tupu....Si ndio hapo sasa, wajue tu wanapata wa kufanana nao, yaani hao pasua kichwa wanaowapata ndio size yao kulingana na wao walivyo. Hivyo wasikae kulaumu tu.
Ukiwa Obama utampata tu Michelle wako.
Siwezi kujibu hilo swali na hata nikijibu pengine ntaonekana najisifia sababu hapa am not advertising my self am saying my views concerning the issue on the table... lakini ungelikua katika relationship na mimi pengine ndo ungepata majibu ya swali lako.Una sifa ya kuwa na mwanamke kama Michelle? (if Michelle is all that advertised...)
Basi kama unastahili just pray n work hard utampata tu Michelle wako.Siwezi kujibu hilo swali na hata nikijibu pengine ntaonekana najisifia sababu hapa am not advertising my self am saying my views concerning the issue on the table... lakini ungelikua katika relationship na mimi pengine ndo ungepata majibu ya swali lako.
Ha ha vice versa is true[emoji4] [emoji4]Yani mtu ni mlevi na kurudi asubuhi juu, ana michepuko kibao, hajali hisia za manzi wake, halafu anamtaka mwanamke kama Michelle...... msomi, humble, loving, patient, faithful, trustworthy, supportive, mpishi mzuri, mama bora kwa watoto .......hahahaha
Ah wap. Kunawatu "wanaume" wanajielewa na likini wanaishia kwa majike dumeSi ndio hapo sasa, wajue tu wanapata wa kufanana nao, yaani hao pasua kichwa wanaowapata ndio size yao kulingana na wao walivyo. Hivyo wasikae kulaumu tu.
Ukiwa Obama utampata tu Michelle wako.
Haina kwere ndugu. Kuwa Obama na utampata Michelle wako tuSiwezi kujibu hilo swali na hata nikijibu pengine ntaonekana najisifia sababu hapa am not advertising my self am saying my views concerning the issue on the table... lakini ungelikua katika relationship na mimi pengine ndo ungepata majibu ya swali lako.