Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Mmmmh!! Ila hiyo ya kwenda kushtakiana nayo mmmh!!!
Walikuwa wakikaa wawili hawapati muafaka, though kila mtu alikuwa anajua umuhimu wa ndoa.
It was a good soln, ila walipo kua waliacha nadhan sku hizi wanafinyana ndani kwa ndani, ma wazee wao wenyewe wengi washa fariki now
 
Walikuwa hawajakua,now wamekua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…