Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Hasty and false generalization, look carefully wanawake wapo.,
Nani angeweza kuwa kama Michelle??ukiwa first lady wa nchi yoyote huwi na kazi nyingine zaidi ya kuwa na supporting role kwa mumeo kupitia shughuli za kijamii,so ts not like Michelle amefanya kitu tofauti na other first ladies
 
Barack had potential, Michelle had too, hakupenda kirejareja jmn..they were two elites,ukweli uwekwe waziiii,started from the bottom ndio but they were well off than most blacks
Yes
Its not lyl they were third world poor.
Walipoanzia palikuwa pazuri tu.
 
Sana mkuu.
 
Obama ni mnafiki sana yeye anampenda mke wake ambaye ni mwanamke ila anaeneza ndoa za ushoga .
Huu ni unafiki mkubwa sana na kuishi maisha ya hali mbili kwa wakati mmoja.

Sipingi yeye kumpenda mke wake ni jambo jema sana kwetu kuiga,,,, ila Sera zake za upande wa pili wa sarafu.
 
Hivi wasomi walikufanya nini ice man!! Mbona wapo walio humble kwelikweli.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huu ni uchochezi.
 
Iceman 3D sio bure aliwahi kutendwa na msomi wa udsm basi kawachukia woote[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hayo mengine si siasa mkuu, hapa tunaangalia mapenzi mahusiano na urafiki, ndio maana imeongelewa mahusiano yake na mkewe.
 
mambo ya ushoga ni magumu tumuachie mungu tu tho me mwenyewe nayapinga
 
Very strong point mkuu
 
Upande wa pili si wa kuiga.
 
Hahaha
Ngoja nikupe stori. Zamani first ladies walikuwa wengi hawajasoma na walifanya kaz za kawaida tu.
Hillary Clinton alikuwa ndio first lady wa kwanza kuwa na post grad degree. Alikataa natural roles zote, uliza miaka ya 90 jinsi Hillary alivokuwa ana chukiwa, ndio alijianzishia na ofis yake east wing
Akaanza ku deal na mambo ya ki sera. Hillary alichukiwa mno kwa kuto jishusha, hata clinton alivo mcheat watu walisema ni kazi yake ya kujiona dume hafanyi kaz za home.

Michelle kafanya mambo tofaut kabsaa. Na aliweka usomi pembeni. So nampa sifa anazo stahili kabsa.
 
Hivi wasomi walikufanya nini ice man!! Mbona wapo walio humble kwelikweli.
Hahaha
Sina ugomvi na mtu
Ila wanawake walio soma wa kibongo kwa kweli si materal nzuri hizo.
 
Barack had potential, Michelle had too, hakupenda kirejareja jmn..they were two elites,ukweli uwekwe waziiii,started from the bottom ndio but they were well off than most blacks
It doesnt matter...what matters the love binds them together...
hapa bongo mwananamke ana madigirii yake angekubal ikulu asimamie chakula cha mumewe, acheze na watoto, afanye majukum kama ya mama, na pia majukum mengine ya kumsaidia mumewe kama first lady..lakin michelle aliweka pemben yote hayo ....we unadhan kwanini barack na uanaume wote amedondosha chozi...unafikiri kaz rahis aliyokua anafanya michelle?? Ukizingatia wapi walipotoka?? its love..mambo ya potential hayapo hapo japo wote wako vizuri kielimu lakin kikubwa kilichowafanya wa make thru ni love....sikiliza maneno yake tena barack ...hadi mwanao alilia koz she know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…