Hii inamhusu mama mwenye nyumba!!!

Hii inamhusu mama mwenye nyumba!!!

tatizo hao wageni mnawakirimu sana.....

Asubuhi wanywe uji, mchana upite wima na usiku wapige dona na mchicha mwezi mzima...... No outings, wafanye kazi sanaaaaaaaaa.......Akiondoka unamkatia tiketi, unampa nauli alokopa na sha 3000 ya kula njiani uone kama atarudi....

hahaha, usisahau luku unaweka ya buku 2 kila siku jioni. Otherwise watatoboa hiyo tv aisee.
 
Christmas kijijini is th cheapest way to spend th holiday...for me!
 
tatizo hao wageni mnawakirimu sana.....

Asubuhi wanywe uji, mchana upite wima na usiku wapige dona na mchicha mwezi mzima...... No outings, wafanye kazi sanaaaaaaaaa.......Akiondoka unamkatia tiketi, unampa nauli alokopa na sha 3000 ya kula njiani uone kama atarudi....
heheheheheee umenifanya nicheke sana
kwa style hiyo hata hawasubiri mwezi uishe wataaga wenyewe ila wengine hawana aibu watajikaza tuu ilimradi wako mjini daaah. Shida nyingine inakuja kama na wewe unawatoto wako hapo nyumbani unakuwa unawatesa na wakiwa watoto wasio na simile wataropoka mama mbona tangu mgeni aje hatujala nyama au hatuendi tena fun city na mlimani city kazi ipo msimu huu. Kila la kheri wamama wenye nyumba na wamama familia.
 
Wacha nikupe mji mamiiii...

Tokelezea Jerusalem israel for a cristmass.... Tuna mpango wa kutokelezea huko kuondoa stress... Almost 2.5m inakutosha for roundtrip ticket and a week expenditure around there...

Kama vipi unga tela safari around 19 december... Pale st joseph church wanafanya taratibu zote na maelekezo...

we mkata kiu una nia njema na huyo tabasamu kweli??????????????????????????/
 
heheheheheee umenifanya nicheke sana
kwa style hiyo hata hawasubiri mwezi uishe wataaga wenyewe ila wengine hawana aibu watajikaza tuu ilimradi wako mjini daaah. Shida nyingine inakuja kama na wewe unawatoto wako hapo nyumbani unakuwa unawatesa na wakiwa watoto wasio na simile wataropoka mama mbona tangu mgeni aje hatujala nyama au hatuendi tena fun city na mlimani city kazi ipo msimu huu. Kila la kheri wamama wenye nyumba na wamama familia.

hahahahahahahah ukiwa na watoto ngumu isee.....

Ila mie naoenda kuwaambia ukweli......

Maisha magumu kutembea ni big no........

Tutatatembeleana kama kuna harusi au dharula tu....mambo ya kujazana ndani ya nyumba watu wanalala hadi sebleni nani anataka?

Matokeo yake hata huko fun city watoto watashindwa kwenda kisa wageni.......
 
Christmas is a time for me to relax, put my feet up and spend my hard sweaty bloody money. Sasa tena wageni kwani yerusalemu hapa? Encourage people to spend christmas with their loved ones jamani, sio kwa watu!

hahahaha nimeipenda hiyo ya yerusalemu hahahahah
 
sakapal kwa kuongezea tu msimu huu wizi unaongezeka sana sehemu mbali mbali ili wezi nao wajirushe kwa raha zao, lakini ukiwa makini basi unaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kulizwa. Pia kwa wale ambao watapenda kunywa mvinyo mpaka waoge wakumbuke kuwa na designated driver ambaye hatagusa mvinyo na hivyo kuweza kuwafikisha salama salmini majumbani mwao wote wale ambao watakuwa ni wasafiri wake katika hizi sherehe za miaka 51 ya uhuru wa Tanganyika, Christmas na mwaka mpya. Mjirushe kwa raha zenu.

Last edited by a moderator:
ahahhahahhahahhahhah mie nitakuwa mgombani!
shurti matumizi yako makubwa na umekuja na gari gani ndo order of the day!
mweh!
my wee sakapal kwetu sie wa kuhesabiwa kila mwaka (haijalishi sensa inakuhusu au la ndo ushaolewa tena tuyumwiki na za kunyumba zako tupa kule) kazi ni kazi kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom