M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Apr 18, 2015 #2 Ni kweli wa kibongo wana jazba na munkar sana
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Apr 19, 2015 #3 Ataacha vipi kuwa na munkar na ATM inataka kusanuka? Abiria anachunga mzigo wake. Mwanamke wa kizungu mara nyingi sio tegemezi hajali cha ATM.
Ataacha vipi kuwa na munkar na ATM inataka kusanuka? Abiria anachunga mzigo wake. Mwanamke wa kizungu mara nyingi sio tegemezi hajali cha ATM.