FuturePresident
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 321
- 57
Story nzui lakini umesahau kumalizia kipengele muhimu.
The moral off the story ( Joke hii inafundisha nini?)
ghaaaa....kwani umeambiwa lazima kila mtu atume isue mpya? Au unataka tukuone unajua sana!!? Mbona nyimbo za kina temba mnarudia kusikiliza?....afu sio kila kitu lazima ku critcise...mbona wenzako wamecheka tu na imetosha..au ungekaa kimya ungepoteza nn!Ha ha ha,but naona si ngen humu ilikuwa kwa lugha ya kiswahl.
......nlisahau, au unadhani wote tulokaa kimya na wale waloishia kucheka hatujui kama hyo story ilikuwepo? Nimemaliza.ghaaaa....kwani umeambiwa lazima kila mtu atume isue mpya? Au unataka tukuone unajua sana!!? Mbona nyimbo za kina temba mnarudia kusikiliza?....afu sio kila kitu lazima ku critcise...mbona wenzako wamecheka tu na imetosha..au ungekaa kimya ungepoteza nn!
Story nzui lakini umesahau kumalizia kipengele muhimu.
The moral off the story ( Joke hii inafundisha nini?)
It´s possible that it has beeb posted more than once. One of the post was this:Ha ha ha,but naona si ngen humu ilikuwa kwa lugha ya kiswahl.