Nimefanyaje hahahaaaa vip ni wew unaeongelewa hapa au
had naona aibu aseeh
Wambea hao bibi mbona wakikubal hawaji huku kusema nimemkubali!
Sipendi watu wasiojua kutunza siri.
Mie nawapenda wanaume wa hivyo.......DIRECT &SPECIFIC......hamna kupotezeana muda,kama vipi kamata fursa uende lol....ngono sio mbaya😁....ngono isiyo salama ndio mbaya.....na habari ndio hio.....
Hamna staha kabisa , , , wengi wanakuwaga na migogoro ya kimaisha, hivyo hukosa uvumilivu hata kwa mambo madogo.
Pole ndugu usirudie tena
Bora wewe...
hujambo we binti...?
WHERE WE DARE TO TALK OPENLY, hii ndio kauli mbiu ya JF au sio,sasa hao wanaoniambia tulipoanzia tukamalizane huko au huyo anayesema eti hapendi watu wasiojua kuficha siri,so unafanya nn JF kumbe kuna mambo u cant talk openly