Hii ina maana gani

Babu yangu aliwai kuniambia ukiona mwanaume anaongea sana na mwanamke na kujenganae urafiki bila kuwa na mahusiano ujue huyo mgonjwa...
Mwanaume naturally atakiwi kuchangamana na mwanamke and vice versa
Kama unabisha zaa watoto wakiume na kike alafu walaze chumba kimoja kwa mda wote wamaisha yao....halafu hutakuja na jibu kwanini huyo mtu aliongelea uroda...
 
Unaona..! yaani kutwa kucha pm tu, hakuna zaidi ya kutaka kuchojoana. utani kidogo kwenye hizi comments, mara twende pm, sasa mtaongea nini zaidi ya kutakana. kwa kweli yangu saivi labda nikiona kuna issue ya muhimu kuwasiliana na mtu..azawaiz naweka pini tu.

Hahahaa haaaa
Mi kwakweli nikishaona una yako napotezea tu!
Cjibu msj wala nn
 
Ni shida muda mwingine una ignore tu as if hujaona kitu ila kama nawew uko juujuu lazima uliwe ... Shame on them
 
Back
Top Bottom