Hii ina maana gani

Ahhhahha mkuu
mwenzio akijidai anajua ule wewe unajidai unajua huu akijitoa faham wewe
wehuka mtaenda sawa wapotezee tu kama unaona havina mana kwako trust me
kuna mtu humu sikwenda kuonana nae amefkia hatua ya kunita malaya kisa
sikwenda huko alipo najiuliza umalaya wangu kaujuaje??? Au nilimvulia
nguo ndugu yake wa karibu au vip ila nikaja kuona jibu la mjinga n kukaa
kimya

Pole sana!
 
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani

Inamaanisha kuwa hajielewi na yupo ki ngono tuuuuuuuuuuuu!!
 
Ungemuuliza yeye alikuwa na maana gani. Pia wewe ungemweleza ni muda gani unatakiwa upite ili kuongelea ngono
 
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani

Me naona yupo sahihi ktk kuokoa muda, kusema kweli wanawake hampo wazi katika hili lkn mwisho ya yote ni ngono. Ndo maana mwanamkee km hatombwi vzr atachepika au atakimbia. So zungumzeni muone km mtachepuka vp na cku mkichepuka angalia vzr km inakutosheleza af mwambie umeridhika af ndo muendelee na forum zngine, ss nyinyi mmekutana humu ulitegemea akuongeleshe nn, Escrow? We co mtoto
, au unataka mzungumze isidingo? Watu wanatafuta satisfaction nowdays co wanawake wala wanaume ndo maana michepuko mingi. Nakushauri kipeleke tu mama, uckute kipele kimepata mkunaji
 
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani

Ina maana kuwa anataka kufanya ngono na wewe
 
Mie nawapenda wanaume wa hivyo.......DIRECT &SPECIFIC......hamna kupotezeana muda,kama vipi kamata fursa uende lol....ngono sio mbaya😁....ngono isiyo salama ndio mbaya.....na habari ndio hio.....
 
Mie nawapenda wanaume wa hivyo.......DIRECT &SPECIFIC......hamna kupotezeana muda,kama vipi kamata fursa uende lol....ngono sio mbaya😁....ngono isiyo salama ndio mbaya.....na habari ndio hio.....

Asubuhi hii cjui nianze na wewe....:D
Na mm napenda mwanamke kama wewe... Sio type ya kupotezeana time;
 
Back
Top Bottom