Hii ina maana gani?

Hii ina maana gani?

chokodari

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
1,442
Reaction score
1,234
Wajameni hivi ikitokea unawasha simu yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
 
Wajameni hivi ikitokea unawasha cm yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
Inataka uiributi bila hivyo itafikia kutowaka hadi ukaflashi imejaa virusi
 
Wajameni hivi ikitokea unawasha cm yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
Toa betri ya simu kwa muda kisha irudishe
 
Wajameni hivi ikitokea unawasha cm yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
Maana yake wahuni wanavinjari ndani ya simu yako!Ila usihofu ngoja tumuite Luca atatupatia ufafanuzi,kwani anajiita afisa doria mitandaoni!
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana, siku hizi ukitaka kumuuzia kitu mtu angalia kwanza amezaliwa wapi na historia yake japo kidogo kwa ufupi, mpaka hapo nazani umeshanielewa.
 
Inategemea kama unaweza maliza mwenyewe tuu
Na mfano computer ikiwa inawaka fresh halfu ikikaa kidogo inajifyatua inazima,nimecheki charge ipo powa kila kitu kipo fresh tatizo hili ni nini? Mda mwingine inakaa haizimi hata masaa 6 but utaona inajifyatua na kuzima na taa za charge zinawaka kama kawaida tatizo nini?
 
Optimizing Apps ni feature ya Android ambapo apps zinakuwa dex recompiled kuongeza ufanisi, hii inafanyika mara pale unapofanya update ya Android au marabnyingine update ya App

Hii haitakiwi kutokea mara kwa mara au kila unapowasha simu.

Jaribu yafuatayo:
Kama una apps za "Cleaner" "Optimizer" "Booster" etc zitoe hizi ni useless na zinaweza zikawa zinafuta hizo optimized dex files kila mara.

Kama unatumia SD card na hasa kama umeinstall Apps kwenye SD jaribu kuitoa uone kama tatizo litaisha kama sd ina shida dex file zinaweza zikawa zinacorrupt mara kwa mara.

Angalia kama kuna update ya simu imekwama au haijakamilika.

Ingia recovery mode (inategemea na simu jinsi ya kuingia ila mara nyingi zima simu kisha Power + Volume Up) kisha Wipe Cache partition.

Yakishindikana yote factory reset.
 
Back
Top Bottom