MECKIAD RUYINGO
Member
- Jun 10, 2011
- 20
- 0
preta mbona maneno kuntu?? mbona mi nimempenda 'M' Na ni wahapahapa!! sa unataka hisia zangu niziweke pending, wakati ndani mwangu naumia, preta acha tu nidanganywe, sio steel wire kusema ikisugua sana sufuria itakwisha! nitamuonjesha akija kunijua wallah japo kiduchu tu, aweke chata kwenye moyo wangu, kuwa na ye alipita!tafuta mpenzi live....achana na hao wa mitandaoni......
tafuta mpenzi live....achana na hao wa mitandaoni......
preta mbona maneno kuntu?? mbona mi nimempenda 'M' Na ni wahapahapa!! sa unataka hisia zangu niziweke pending, wakati ndani mwangu naumia, preta acha tu nidanganywe, sio steel wire kusema ikisugua sana sufuria itakwisha! nitamuonjesha akija kunijua wallah japo kiduchu tu, aweke chata kwenye moyo wangu, kuwa na ye alipita!
Huu mpasho lazima niutungie mwimbo kwenye bendi yangu ya Kiduku!.nimeipenda hii......kudadeki......
we usione sooo....kama vipi....mwambie....akikubali....mtumie....akiganda mgandie....akisepa mpotezee.....
sio steel wool bana.......
[FONT=comic
sans ms]tafuta mpenzi live....achana na hao wa
mitandaoni......[/FONT]
Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za uongo.1. hakuwa mpenzi name kuwa chaguo lake la pekee,2. eti anaishi Kenya, mfanya biashara,3. Familia niya elite group.Kwa sababu hizo tukaamua kushirikiana kwa kila jambo japokuwa tuko mbali from each other mwaka ujao tulipanga tukatambulishane kwa wazazi.MWISHO WA SIKU….nikagundua kuwa kaka anampenzi wake na wanasoma chuo kimoja mwaka wa pili, yuko Tanzania chuo kikuu cha DodomaJe nifanyeje?