Hii Imewahi Kutokea Jirani na Katavi National Park..!!

Mmh, hii picha ina kila dalili ya kuchakachuliwa. Simba amekaa mkao wa kuwa mzima akila mzoga, na huku nyuma kuna jamaa anamsogelea. Huyu simba amekuwa pasted. Naona kawekwa tu pembeni ya mtu aliyejeruhiwa kwa sababu nyingine kabisa.

Hebu fungua hii thread labda utaamini
usithubutu kukutwa
 
Hawa jamaa ni hatari sana hasa kwa watu wanaoishi jirani na mbuga za wanyama...

Mkuu hii nadhani inashahabiana na thread hii hapa...
usithubutu kukutwa

73281_127662437291085_100001419871855_152544_4266333_n.jpg
 
Na huyo majeruhi anaonekana nae ni jasiri na mkakamavu pia maana pamoja na kujeruhiwa kote huku hakuachia haja kubwa wala ndogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom