aisee chaliii angu.....mbona sisi tunaishi na hakuna noma yoyote.......Chugga ni shwari kabisa chamaaa......we cheki kwanza huyo chalii halafu uniambie picha inaongea nini......

mbona tunakunywa kila mahali na hakuna aliyetuchoma kisu......mimi si ndio huyu hapa napost au......na saa hii nina mpango wa kuelekea Bugaloo......na kesho nitapost.......vipi bana wewe.......

mimi hapa huyu.....mbona sijachomwa kisu jana........
Arusha ukileta za kuletwa......unapewa kifinyo kitakatifu......ishi na watu nao waishi na wewe.........
street za atown, lazima uwe umeshajifunza jinsi ya kukombat visu, vinginevyo watakumaliza.
siyo arusha peke yao, hata moshi nako wanamtimndo huo wa kutumia sana visu.