TR 107 mbona hawafungwi
Kuibiwa kubaya sana ila young lunya🙌Miaka mitano jera, wizi wa Young Lunya 🤔
Ila ni sawa, maake juzi kati nimeibiwa simu ya tachi ya Pixel. Nimelaani vya kutosha mpaka nikawa naimajin huyo mwizi atakavyoteketea siku ya mwisho
Mwizi anatakiwa kuchomwa.