Hii imetokea huko manzese chezea lager weye

Hii imetokea huko manzese chezea lager weye

NancyM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
314
Reaction score
40
Hii imetokea huko Manzese Jijini Dar es salaam.
dogo mmoja umri 12, awaacha watu midomo wazi ni baada ya kuingia bar na kuagiza bia aina ya "kilimanjaro" kama vyupa 11.
Kimbembe ni pale waiter anapo kuja na kuhitaji malipo.
Mara dogo kazama mfukoni na kuchomoa bango la Kilimanjaro ambalo chini limeandikwa kwa maandishi makubwa.
"ONYO HAIUZWI KWA WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA 18"
(Hii ikiwa na maana wanapewa bure)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom