Hii imenitoa machozi sio siri

Hii imenitoa machozi sio siri

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
[video]https://www.facebook.com/furaha.venance/videos/761143443991762/[/video]
 
nadhani imeakisi uhalisia wa maisha ya vijana wa leo
 
zamani ilikuwa kuokota makopo ni wendawazimu
lakini leo ni ajira
Na mkuu na wenzake wanapata usingizi mardadi...yana mwisho haya.......
 
This is so sad jamani. Sio kwamba wanaimba wanaraha au wanafurahia
Hili in bomu siku litakuja kulipuka .. Mungu atusaidie
unazidi kunitia simanzi
 
huzuni mweh lolest
zamani ilikuwa kuokota makopo ni wendawazimu
lakini leo ni ajira
Na mkuu na wenzake wanapata usingizi mardadi...yana mwisho haya.......
 
Nikiona hivi naona CCM ovyo sana.. bado nikigeuka huku kwingine EL ambavyo hajajipanga napata homa kabisa... Pande zote mbili zina disadvantages za hatari
 
ningependa wagombea waione hii iwatoe machozi kama mimi
 
Nikiona hivi naona CCM ovyo sana.. bado nikigeuka huku kwingine EL ambavyo hajajipanga napata homa kabisa... Pande zote mbili zina disadvantages za hatari
ni kweli lowassa hajajipanga
 
alijipanga kuwa raisi kwa tiketi ya ccm kugeuza maneno na ajenda kazi sana mkuu hasa kwa cheo cha uraisi na ndio maana kama unasikiliza vizuri ajenda zao zinalandana na hazina mashiko
Nikiona hivi naona CCM ovyo sana.. bado nikigeuka huku kwingine EL ambavyo hajajipanga napata homa kabisa... Pande zote mbili zina disadvantages za hatari

hajajipanga kivipi mkuu?
 
Hizi AJENDA, SERA na sijui nini ni UPUUZI mtupu. Nikisikia tu napata kichefuchefu.

CCM kila baada ya miaka 5 wanakuja na Sera na Ajenda zako unazozitaka nzuri tu na wanakuwa wamejipanga kwelikweli washinde ila wakishashinda, wanaifanya Kigoma kuwa Dubai.

Nafikiri ni muda ufike sasa tumpe ambaye hajajipanga na wala hana AJENDA.

Ajenda yake iwe moja tu, MAISHA BORA KWA WATANZANIA. Mengine Watanzania hawajali atafanyaje.

alijipanga kuwa raisi kwa tiketi ya ccm kugeuza maneno na ajenda kazi sana mkuu hasa kwa cheo cha uraisi na ndio maana kama unasikiliza vizuri ajenda zao zinalandana na hazina mashiko
 
Hizi AJENDA, SERA na sijui nini ni UPUUZI mtupu. Nikisikia tu napata kichefuchefu.

CCM kila baada ya miaka 5 wanakuja na Sera na Ajenda zako unazozitaka nzuri tu na wanakuwa wamejipanga kwelikweli washinde ila wakishashinda, wanaifanya Kigoma kuwa Dubai.

Nafikiri ni muda ufike sasa tumpe ambaye hajajipanga na wala hana AJENDA.

Ajenda yake iwe moja tu, MAISHA BORA KWA WATANZANIA. Mengine Watanzania hawajali atafanyaje.

ni kweli kabisa mkuu ni miaka mingi tumekua tukiimbiwa nyimbo hizohizo lakini hakuna kinachofanyika
 
Wakuu, hebu iwekeni bayana hiyo picha, wengine tunatumia vitu vya tochi havina hata kikokotoo.
 
ni picha mwendo inayoonyesha vijana wamebeba gunia la chupa tupu za plastiki wakiimba maisha bora ndio haya riziwani anakula bata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom