Hii imenitoa machozi sio siri

Hii imenitoa machozi sio siri

tulimpa kikwete kwa hiyo ajenda na matokeo ndiyo hayo
Hizi AJENDA, SERA na sijui nini ni UPUUZI mtupu. Nikisikia tu napata kichefuchefu.

CCM kila baada ya miaka 5 wanakuja na Sera na Ajenda zako unazozitaka nzuri tu na wanakuwa wamejipanga kwelikweli washinde ila wakishashinda, wanaifanya Kigoma kuwa Dubai.

Nafikiri ni muda ufike sasa tumpe ambaye hajajipanga na wala hana AJENDA.

Ajenda yake iwe moja tu, MAISHA BORA KWA WATANZANIA. Mengine Watanzania hawajali atafanyaje.
 
Mbona mnatoa mifano ya kirofa? kuota chupa ni maamuzi binafsi ya mtu mwenyewe, ardhi ipo ya kutosha, kila mtu anataka akae Dar, hizo kazi ziko wapi? unajua wakati mwingine inaonekana tz haina vijana ila ina midebwedo, kijana kama kijana anayejitambua na kweli amesoms kwa makini, anaweza kuelezea tatizo la ajira, ni mdebwedo tu ambaye ana degree yake na kukubaliana na viongozi kuwa ajira zipo za kutosha.
 
Mkuu tafuta takwimu kwanza

Back
Top Bottom