when I'm figuring out on how my mum had gone through to raise me.....aisee huwa nawaheshimu sana wanawake kwa ujumla ingawa huwa tunakutana na wadada pasua kichwa, hicho sio kigezo cha kuwa linganisha wanawake wote kwani hata baadhi ya sisi wanaume ni majipu pia.
Kiujumla wao wanawake wanastahili heshima kubwa kutokana na hekaheka wanazokumbana nazo katika kutuzaa, kutulea hadi leo nasi tunajiita wanaume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.