Nimesikiliza kipindi cha malumbano ya hoja Radio one, Alhamisi hii, naskia mtu anajitambulisha kama somebody Msafiri Mwajuma Mariam. Ama like waaaaaaat!
Niko sebuleni na dogo naye anashangaa, nkaelewa frustration aliyonayo kwenye kichwa chake.
Anyway labda aliamua kutumia jina hilo kutokana na kulelewa na mama peke yake na dingi akaingia mitini, au maybe ni mbwembwe zake ilikuongeza madoido, AU maybe just maybe kuna mwanaume mwenye jina hilo, la Mwajuma Mariam.
Anyway Niseme tu kwamba wanaume tunasafari ndefu, la sivyo they are taking over and they are taking over fast. Labda kweli dingi alimkimbia je hana hata wajomba? Anyway am high_koh Koh yoyoooo