Hii imenishangaza kidogo

Hii imenishangaza kidogo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,351
Reaction score
26,230
Ndugu zangu hapa mtaani kwetu Kuna mzee mwenye miaka 53 ameoa binti mwenye miaka 25 hii imekuwa tofauti kidogo cos tumezoea Mara nyingi mzee anakuwaga na hela lakini hii couple huyo binti ndio mwenye uwezo wakati mzee hela hana.Huyu binti anafanya kazi bandarini na mzee ni mvuvi wa samaki

Kiukwel binti ni mzuri ile mbaya kuanzia sura paka shape Kuna level tatu hiv
ya uzuri nayo ni beautiful, more beautiful and most beautiful kwangu huyu binti ni most beautiful.couple ya huyu binti na mzee imekuwa ikiibua mijadala hapa mtaani na Kuna wengine walifika mbali nakusema inawezekana huyu binti anajipatia hela kwa njia za kishirikina kwa kupitia kiwa na huyu mzee watu hawataki kukubali hiki kama kinawezekana.

Bahati nzuri mzee wangu(baba yangu) anajua background history ya yule binti cos yeye ndio alikuwa mshenga wa huyo mzee aliyemuoa huyo binti akaniambia kwa kifupi huyo binti baba yake ni mwiingereza na Mama yake ni mtu wa Tabora huyu binti alichukuliwa na baba yake baada ya kumaliza form 4 Tanzania ambapo alipata division 1 baada ya hapo ndo akapelekwa uingereza kusoma lakini pia hata maali ya huyu binti ilikuwa ni mil 3 lakini yule mzee alikuwa na laki 6 ikabidi huyu binti akampa mzee huyo anayependa mil 3 yote ili alipe maali yake Bila hata familia yake kujua cos alikuwa anampenda.

Kitu ambacho nampendea huyu binti Hana maringo ajari kelele za watu blakini pia anashirikiana na majirani kwenye misiba hata mashuuri mbalimbali.Jumamosi ya wiki iliyopita alimfanyia happy birthday huyo mume wake na akaalika baadhi ya majirani wake siku hiyo alimzawadia mume wake ambaye huyo mzee gari aina ya mark x na suti mbili.
 
[emoji23] kama picha za maigizo vile, ila si jambo lakushangaa sana vijana tunashida sana ndomana dada wa watu kamtunuku mzee...
 
Vaa viatu vya huyo binti na wewe uolewe na mzee wa miaka 50+ utajua kama ni mapenzi au ushirikina.
Mwanzo ilinishangaza lkn mwisho wa siku ndio mapenzi wazungu wanasema "love doesn't ask why" na umri is just a number so tunatakiwa to respect moyo wa mtu kwa ampendae.
 
Ndugu zangu hapa mtaani kwetu Kuna mzee mwenye miaka 53 ameoa binti mwenye miaka 25 hii imekuwa tofauti kidogo cos tumezoea Mara nyingi mzee anakuwaga na hela lakini hii couple huyo binti ndio mwenye uwezo wakati mzee hela hana.Huyu binti anafanya kazi bandarini na mzee ni mvuvi wa samaki

Kiukwel binti ni mzuri ile mbaya kuanzia sura paka shape Kuna level tatu hiv
ya uzuri nayo ni beautiful, more beautiful and most beautiful kwangu huyu binti ni most beautiful.couple ya huyu binti na mzee imekuwa ikiibua mijadala hapa mtaani na Kuna wengine walifika mbali nakusema inawezekana huyu binti anajipatia hela kwa njia za kishirikina kwa kupitia kiwa na huyu mzee watu hawataki kukubali hiki kama kinawezekana.

Bahati nzuri mzee wangu(baba yangu) anajua background history ya yule binti cos yeye ndio alikuwa mshenga wa huyo mzee aliyemuoa huyo binti akaniambia kwa kifupi huyo binti baba yake ni mwiingereza na Mama yake ni mtu wa Tabora huyu binti alichukuliwa na baba yake baada ya kumaliza form 4 Tanzania ambapo alipata division 1 baada ya hapo ndo akapelekwa uingereza kusoma lakini pia hata maali ya huyu binti ilikuwa ni mil 3 lakini yule mzee alikuwa na laki 6 ikabidi huyu binti akampa mzee huyo anayependa mil 3 yote ili alipe maali yake Bila hata familia yake kujua cos alikuwa anampenda.

Kitu ambacho nampendea huyu binti Hana maringo ajari kelele za watu blakini pia anashirikiana na majirani kwenye misiba hata mashuuri mbalimbali.Jumamosi ya wiki iliyopita alimfanyia happy birthday huyo mume wake na akaalika baadhi ya majirani wake siku hiyo alimzawadia mume wake ambaye huyo mzee gari aina ya mark x na suti mbili.
Aaa umesema watu wa Tabora watakuwa walikutana angani usiku
 
Endelea kufuatilia serie hii..utupage updates.
 
Mimi ulipofika hapo kwenye zawadi ya suti mbili na mark x ndo nikajua ahh kumbe fiction..
jitahidi siku moja utatunga hadithi ndefu kuliko hii
Mnhh....
Kwani ulikuwa wapi Mkuu....!!???
 
Uliposema mzee mvuvi nikajua yupo hatari na kupiga mbizi na kulamba samaki kipochi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom