Nacte mifumo yao ina matatizo gani admission status mwanzo ilisoma selected kozi mionzi mbeya college leo admission status inarudi kwenye profile haionyeshi tena kama selected applicant
Sifahamu kwa kweli maana system inatakiwa iwe na speed kwa hapa kwetu kwasababu data center za serekali zipo karibu na sisi may be kama system za government wamehost mbali na Tanzania. Sometimes number of users pia ni issue. Pia sidhani kama VPN inaongeza speed ya accessibility maana sio kazi ya VPN iyo.