Hii Imekaaje??

Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo mwanaume anaporomoshewa matusi ya nguoni hadi abiria wengine, hasa wa kiume tumeinamisha vichwa vyetu kwa aibu. Sentensi moja aliyoongea na nimevutiwa nayo ni hii:-
"we ni mwanaume gani ambae hujali mtoto, WANAUME wote niliozaa nao wanajali watoto wao, wa kwanza kamsomesha mwanae hivi sasa yupo form two, wa pili nae anamsomesha na anatoa matunzo na mtoto yupo darasa la sita, Ms.....(tusi) wewe mtoto wako hata chekechea unashindwa kumpeleka"
Akamaliza kwa kusema "Najuta kuzaa na wewe".
Duh....! Mbona nilipigiwa simu kama hii asubuhi ya leo?
 
Mpenzi alafu sisi wahuku kijijini mtoto wa baba mwingine anakua ndani ya ndoa wakiwa 10 wanne wa nje na Mr hajui alafu maskini unakuta mtoto kipenzi wa mwingine... enways ngoja nipande kilimani baba wa mtoto wa saba ananipigia....lol
Kumbe simu mnazo?!Mmeendelea kweli...Huku kwetu kupiga simu labda awe gulioni alafu simu yenyewe ya jirani mtaa wa pili basi mpaka uifuate kijasho kinakutoka.Wote tukiwa maeneo ya karibu unaita kwa sauti alafu mtu wingine anakusaidia kupokea na kuita mpaka mhusika apatikane na kujibu ‘najaaaa‘!
 
ha ha ha Partner zipo saana problem mpaka upande mlimani, tuligaiwa mwaka jana wakasema bure kumbe inatakiwa kulisha... Matepeli kabisa.. mume kapanga kuwafuata watupe chakula chake... Hivyo we are in the same boat!
 
Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo mwanaume anaporomoshewa matusi ya nguoni hadi abiria wengine, hasa wa kiume tumeinamisha vichwa vyetu kwa aibu. Sentensi moja aliyoongea na nimevutiwa nayo ni hii:-
"we ni mwanaume gani ambae hujali mtoto, WANAUME wote niliozaa nao wanajali watoto wao, wa kwanza kamsomesha mwanae hivi sasa yupo form two, wa pili nae anamsomesha na anatoa matunzo na mtoto yupo darasa la sita, Ms.....(tusi) wewe mtoto wako hata chekechea unashindwa kumpeleka"
Akamaliza kwa kusema "Najuta kuzaa na wewe".
Ndio hivo tena wanawake wengi wa uswahilini kuzaa ndio kuhitimisha mapenzi kwa mwa fulani
 
Kwa kweli yule mama kwa muonekano wake tu anaonekana hana maadili

Hana maadili kwa sababu ameongelea kwenye daladala?

Au hana maadili kwa sababu kasema hayo maneno?

Au hana maadili kwa sababu amezaa na wanaume tofauti tofauti?

Mimi naweza kusema sitamhukumu wala kumlaumu huyu mama kwa chochote kwa sababu yawezekana hakupenda hata kuzaa hao watoto na baba tofauti tofauti, lazima kuna sababu au kuna kilichopelekea hiyo.

Either hana elimu, hana kipato hana chochote........
Anapata mtoto kwa mwanaume wa kwanza anamuacha, anampata mwingine anamlaghailaghai ana muacha nk nk, zingatia ELIMU, mazingira na kipato cha huyu mama.

Huenda leo ndo kampata huyo baba mtoto hewani, huenda huyo baba hata simu hapokei.......

Huenda.......ni nyingi hapa.

Mama wa watu, amejawa na hasira na msongo wa mawazo, kwa nini asiongeeeeeeeeeeeeeeee?

Ninayo imani ukikaa naye kwa karibu ukaongea naye, unaweza ukapata ukweli zaidi, ya hicho cha kusema tu hana busara na nidhamu.
 
Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo mwanaume anaporomoshewa matusi ya nguoni hadi abiria wengine, hasa wa kiume tumeinamisha vichwa vyetu kwa aibu. Sentensi moja aliyoongea na nimevutiwa nayo ni hii:-
"we ni mwanaume gani ambae hujali mtoto, WANAUME wote niliozaa nao wanajali watoto wao, wa kwanza kamsomesha mwanae hivi sasa yupo form two, wa pili nae anamsomesha na anatoa matunzo na mtoto yupo darasa la sita, Ms.....(tusi) wewe mtoto wako hata chekechea unashindwa kumpeleka"
Akamaliza kwa kusema "Najuta kuzaa na wewe".

Bora huyo wa 3 tu sisi jirani yetu hapa binti yake kawabambika wanaume 7 na wanapishana tu kuleta za matumizi na mama mkwe anapokea
 
ha ha ha Partner zipo saana problem mpaka upande mlimani, tuligaiwa mwaka jana wakasema bure kumbe inatakiwa kulisha... Matepeli kabisa.. mume kapanga kuwafuata watupe chakula chake... Hivyo we are in the same boat!
Dah matapeli sana hao vijana wa mjini!!Back to topic...siwezi kumhukumu huyo mama kwa kumtukana huyo mwanaume au kwa kuzaa na wanaume tofauti kwasababu sijui kilichopelekea hayo yote.Nashangaa naadhi mnavyoponda....kwa hali hii wale wanaoogopa kusemwa wataishia kuchoropoa mimba ili asiwe na mtoto wa pili/tatu ambae baba yake sio yule yule wa wakwanza!!!Ila alichokosea ni sehemu tu ya kuongelea mambo yake....mengine yote ni juu yake na Mungu wake.Usimhukumu mwenzio kwa kua na watoto watatu wenye majina ya wisho yasiyofanana wakati we umewahi kutoa kichanga au kumshauri/shawishi mpenzi wako wa kike afanye hivyo.Au kama wewe umebahatika kupata wote kwa mtu mmoja sema tu asante Mungu yaishe!!
 
dah! Kwel kumbe kunawengne wanakuwa wajasiri wa mal kwa miili yao dah! Maisha nyie kaz kweli kwel
 
Hana maadili kwa sababu ameongelea kwenye daladala?Au hana maadili kwa sababu kasema hayo maneno?Au hana maadili kwa sababu amezaa na wanaume tofauti tofauti?Mimi naweza kusema sitamhukumu wala kumlaumu huyu mama kwa chochote kwa sababu yawezekana hakupenda hata kuzaa hao watoto na baba tofauti tofauti, lazima kuna sababu au kuna kilichopelekea hiyo.Either hana elimu, hana kipato hana chochote........Anapata mtoto kwa mwanaume wa kwanza anamuacha, anampata mwingine anamlaghailaghai ana muacha nk nk, zingatia ELIMU, mazingira na kipato cha huyu mama.Huenda leo ndo kampata huyo baba mtoto hewani, huenda huyo baba hata simu hapokei.......Huenda.......ni nyingi hapa.Mama wa watu, amejawa na hasira na msongo wa mawazo, kwa nini asiongeeeeeeeeeeeeeeee?Ninayo imani ukikaa naye kwa karibu ukaongea naye, unaweza ukapata ukweli zaidi, ya hicho cha kusema tu hana busara na nidhamu.
Asante mpenzi kwa hii post iliyoenda chuo kikuu.Watu wanamhukumu mama wa watu wakati hawajua kilichopelekea hayo yote.Pia watu kuzaa sio aibu wala sio dhambi...acheni kujaribu kufanya ionekane hivyo!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
"Tukirudi kwa wadada kuzaa zaa hovyo zi vizuri kwani mi naamini mwanamke ukiamua usizae hata kwa nyundo huzai, saa nyingine wadada wanategeza kabisa mimba halafu mbaba akisepa mnaanza kulalamika. Zaa na yule anaehitaji mtoto ili hata ukilalamika uwe na haki ya kufanya hivyo."

Maty!, Hapo nakuunga mkono kabisa, kweli Karne hii bado watu wanafanya 'BOLINGO' za ovyo ovyo!!,Kinga zimejaa tele kama mtu hawezi kujizuia. Mtu unajiachia tu Mwaaa!!!, ukumbuke baada ya hapo MTOTO kama bahati nzuri (Ujue utamlinda vipi), mengine ni maafa tu. watu kama hawa ndio wanahatarisha maisha ya wengine, ni sawa na dereva anaendesha gari akiwa chakari, wanaweza sababisha ajali nyingi sana!.
 
Watu wengine bwana....watu watatu ndo KILA MPITA NJIA?!?!

unajuaje kama ni watatu tu? manake hao ni wale aliobahatika kuzaa nao, hujaweka mimba alizotoa kama zipo na one night stand za kutosha

hivi unapokua na uhusiano na mtu mpaka kufikia uamuzi wa kua na mtoto nae halafu kila mtu anachukua njia zake ni sahihi?
 
Huyo Mwanaume hafai kabisa, na huyo mama kauli zake sio nzuri pia hana busara, lakini bila kujua full story alipataje hao watoto hatuwezi kum-judge, sababu hatujui situation..., lakini hakuna excuse ya kutokujali mtoto wako.
 
unajuaje kama ni watatu tu? manake hao ni wale aliobahatika kuzaa nao, hujaweka mimba alizotoa kama zipo na one night stand za kutoshahivi unapokua na uhusiano na mtu mpaka kufikia uamuzi wa kua na mtoto nae halafu kila mtu anachukua njia zake ni sahihi?
..mwenyewe umesema “anazaa na kila mpita njia“ hapa tunajua amezaa na watatu tu....AMEZAA kumbuka hilo neno alafu unijibu kama watu watatu ni “kila mpita njia“...hayo mengine hayatuhusu!!
 
Katavi usiniambie ulicheka au ulikauka kimya? bwana mama wa watu anasisitiza malezi kwa mtoto, hivyo mdingi ashirikiane vizuri!..Ni mstaarabu kuwa mkweli kuwa kila mtoto ana baba yake, angeweza kubambikia. Inawezekana ana hulka ya kuongea kwa sauti ila haimfanyi mtu mbaya kwenye jamii!..
anaonekana kuwajali watoto wake kielimu na malezi pia..yote ni maisha!!
 
..mwenyewe umesema "anazaa na kila mpita njia" hapa tunajua amezaa na watatu tu....AMEZAA kumbuka hilo neno alafu unijibu kama watu watatu ni "kila mpita njia"...hayo mengine hayatuhusu!!

ok nakubali watatu sio kila mpita njia ila nadhani hujailewa mantiki ya neno kila mpita njia.. kwa jinsi nilivyoitumia hapo nilimaanisha huyo mama ni mtu wa wanaume wengi kwani watatu ni wengi kwangu, sipendi kunjudge but lets be realistic kuna njia za uzazi wa mpango kama umeshazaa na wanaume wawili na wote wakakutelekeza bado unaendelea kurudia kosa lile lile tukuelewaje?
 
Eti ni wengi...watu wanatembea na watu mia huyo mama ndo unamwona wa kumhukumu?!Nwy tukiachana na hayo...unavyosema sijui baada ya kupata wa pili kwanini karudia kosa...ulikiwepo mpaka ujue walikua na makubaliano gani mpaka wakapata mtoto?!Je kama waliahidiana ndoa?!Je kama dawa ya penzi ilipata ajali?!Hujafa hujaumbika kijana...leo wamsema mwenzio kesho unajikuta kwenye situation hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom