nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,832
- 1,943
Nimemskiliza Magufuli jana anajitapa kuwa wananchi watapita bure wakati anajua daraja siyo lake...duh!
Nafikiri ulimsikiliza ila hukumwelewa hata mie nilimsikiliza wananchi wapita kwa miguu watapita bure ila wenye magari watalipia na akasema msemakweli ni mpenzi wa Mungu.