Hii imekaaje wapendwa

Makubwa hayo weekend alikuwa akifanya nini hakutengeneza hizo nywele mpaka uende leo siku ya kazi?? Haya kila heri mkuu

Taratibu mdogo wangu,

Hizi nyumba zione hivi hivi...Bado napenda amani kwa hiyo siwezi kumuuliza hilo swali....!!
 
Ha ha ha DC kumbe ndo ulivyompole kiasi hicho haya bana

Kumbe ndo umegundua leo? Hakika ni wanaume wachache wanaweza kuhimili mikiki ya wabia wao. Mimi nilishagajua jinsi ya kuyamaliza kiutu uzima. Unakubali tu kupelekeshwa ili mradi elasticity limit haizidi!!
 
Kweli leo ndio nimegundua nilikuwa sijui. Mpe hongera zake huyo mdau
 
Mmenifanya nijiulize hii ya kuandaa birthday party na ile ya kumnunulia boxer/panty siku ya birthday yake vina tofauti??
 
Vyote ni upuuzi tu...Ni jambo la muhimu sana kujiweka mbali na ma-ex. Ni watu ambao tuliwapenda tena pengine kuliko wenzi wetu wa sasa. Ila kwa sababu bahati haikuwa yetu, basi tukubaliane na hali na kusonga mbele!
 
Ahsante DA,

Unaweza kutumia tu hiyo principle...Haina hati miliki. Ila usije kuanza mambo ya kuwaandalia watu birthday parties!

Mie siwezi kwanza nitaanzaje na nitaaga nakwenda wapi unataka nitolewe kisingino na reception yooote. SITATHUBUTU HATA SIKU MOJA KWANZA HATA KUSALIMIANA HATUSALIMIANI TUKIKUTANA NJIANI
 
Hey sisi
Nakusalimu hope u mzima
Maza anakuulizia
wiki hii yote hukuonekana home

Mzima kabisa wewe ndo huonekani kila nikirudi umelala
Nikondoka umelala

Hujambo lakini nakumiss sana huoni CR tayari au unatakaje?
 
MJ1 unamnunulia nani hizo boxer?? Ni ex au?? Mbona wanipa utata
Nimeuliza kwa kuwa kwa mujibu wa maelezo ya awali ya KAKA nilielewa kama anashutumu kwa Bi shosti kuanika hadharani uhusiano wake na Mr Mume ndo nikauliza kuona kama sirini anakubali.
Ameshanijibu sawia.
 
Huyu KAKA bana anavituko sana maana kasema wafanyie gizani sijui kama ni ruksa hiyo
 
Changamoto kwa mke wake. Huyo Ex wake yaonesha alikuwa anampenda kwa dhati. Huyu anayeishi naye napata mashaka, yawezekana hata birthday ya husband wake haikumbuki

Labda mkewe ana upendo zaidi ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa..............2silaumu tu ila aangalie na awe makini asee!!!:juggle:
 
Eh............... mwambie apunguze wivu bana ah........ Huyo mEX ....dah ana guts aisee.

MJ1 ... haya mambo yapo sana siku hizi ... recently i witnessed the very same occassion DA aliyo-post hapa ... mke wa jamaa aliandaliwa graduation ceremony na ex wa mumewe without yeye kujua through wifi yake. huyo ex wa jamaa ni bishost na dada wa mumewe ... ex aliandaa kila kitu kwa kushirikiana na wifi mtu ... mpaka shughuli inakwisha mke hakuelewa lolote ... mawifi zenu hawa kuweni nao macho!!

Back to story ... naweza thibitisha machache kwamba ...

1. hao ma-ex bado wana mahusiano ya kingono kwa sana tu ... hizo guts za kuandaa birthday sio mchezo ... kwa watu wasio na mawasiliano ya karibu ni kitu ambacho hakiwezekani!!

2. mke wa jamaa yuko kizani ... hajui kama mumewe alikuwa / ana mahusiano na jamaa ... ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa yeye kuliruhusu hilo na kuweza kushiriki ... ili lajionesha katika participation ya huyo ex-shosti kuwa mbali wakati wa events za kulishana keki ... she & he were trying to hide their active status!

dada zangu ... siku hizi watu wanaoongoza kwa kutembea na waume za watu ni marafiki za mawifi, marafiki (madashosti) zenu wa kike, wakina mama / dada majirani, na ma-ex wa waume zenu. Kuweni makini ... hawa watu ni hatari kuwa karibu na waume zenu!!

... i'm out!!
 
Dou! kwa hiyo tukaishi wapi sijui, labda kisiwani ili tuweze kuwa peke yetu na waume zetu
 
Midabwada aksante sana maana duh umelidadavua haswaaa vya kutosha. Mawifi nasi tuna mambo ah. Nina shosti wangu mie aliolewa akajakuta wizi zake wana ukaribu sana na EX- wa kaka yao (Na hawakuachana kwa hiari yao bali Kaka aliendasoma nje huku nyuma Ex- akaozeshwa kwa mwingine). Sasa hata baada ya kuoa jamaa wakawa bado wanawasiliana na Ex- (Infact walikuwa wanajaribu kufanya mbinu Ex- aachike toka huko kwa mumewe) Bahati mbaya EX na mumewe walihamia nje ya nchi sasa kidogo ikawa ngumu. Balaa ni kuwa kila kukicha EX- anatuma vipercels kwa wifize............Mr kaagiza gari ulaya, likapitishiwa kwa kakake na Ex. Viparcel vyaja toka nje mume anaficha ilimuradi tafrani tupu humo ndani.

Sometimes kweli kina mama nasi tufumbue macho na akili zetu. Alosema kikulacho kiko kinguoni mwako hakukosea.
 
Back
Top Bottom