Hii imekaaje wapendwa

DA, Hadithi hii kakufundisha nani?

Wajukuu zangu wote, watiifu kwa watukutu, hadithi hii imetufundisha nini?

Mpigieni makofi DA tafadhali.

Na huu ndio mwisho wa kipindi hiki cha Mama na Mwana kwa siku hii ya leo. Tukutake wiki ijayooo!

Cheichei shangazi, tufurahi shangazi, shangazi, shangazi ooooh shangazi....cheicheiiii shangaziii!

Ha ha ha u made my day yaani nimefurahi kusikia kama niko home na bado mtoto nurcery school hivi
 
Pole MJ1...itabidi mzidi kupambana na changamoto za nyakati...Mimi naogopa sana nikiangalia speed zenu!

By the way, hujui kuwa jina la Babu lilishapigwa chini? Naogopa kuitwa mlozi kama huyo kikongwe wa Loliondo. Nikiitwa Babu halafu watu wakapanga que mbele ya kibanda changu cha mbavu za mbwa nitawapa nini? Mimi sijui hata herb moja! Nimebwaga manyanga mdogo wangu!

Ah sikuwa nimejua KAKA ...............
 
Pole MJ1...itabidi mzidi kupambana na changamoto za nyakati...Mimi naogopa sana nikiangalia speed zenu!

By the way, hujui kuwa jina la Babu lilishapigwa chini? Naogopa kuitwa mlozi kama huyo kikongwe wa Loliondo. Nikiitwa Babu halafu watu wakapanga que mbele ya kibanda changu cha mbavu za mbwa nitawapa nini? Mimi sijui hata herb moja! Nimebwaga manyanga mdogo wangu!

Aisee! OMG!:hatari::hatari::hatari:
 
DC mpendwa,

With serious note naomba ufafanuzi kwenye hiyo red hapo kabla sijainywea bia hii nauli niliyodunduliza tayari kwa safari ya kuelekea Semunge Village!
 
Mkuu,

Unataka ufafanuzi gani kuhusu babu wa Loliondo? Wewe nenda tu ukafanye experiment halafu utakuja kutusimulia!

Ila DC anaamini huyo jamaa ni mlozi kama walivyo wanga wengine!
 
Najitolea kukurudishia hiyo nauli ukiinywea bia ili tu uende kwa babu
 
Mkuu,

Unataka ufafanuzi gani kuhusu babu wa Loliondo? Wewe nenda tu ukafanye experiment halafu utakuja kutusimulia!

Ila DC anaamini huyo jamaa ni mlozi kama walivyo wanga wengine!

Ulishaamua kunikwaza toka jana. Hebu nenda kwenye hoja mchanganyiko ukaungane na Miss Judith kuna thread kaanzisha huko sijakuona
 
Haya mdogo wangu...Tutaonana kesho...Mbia wangu kaniira nimpeleke kutengeneza nywele!
 
Makubwa hayo weekend alikuwa akifanya nini hakutengeneza hizo nywele mpaka uende leo siku ya kazi?? Haya kila heri mkuu
 
Back
Top Bottom