Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
- Thread starter
- #281
MJ1 ... haya mambo yapo sana siku hizi ... recently i witnessed the very same occassion DA aliyo-post hapa ... mke wa jamaa aliandaliwa graduation ceremony na ex wa mumewe without yeye kujua through wifi yake. huyo ex wa jamaa ni bishost na dada wa mumewe ... ex aliandaa kila kitu kwa kushirikiana na wifi mtu ... mpaka shughuli inakwisha mke hakuelewa lolote ... mawifi zenu hawa kuweni nao macho!!
Back to story ... naweza thibitisha machache kwamba ...
1. hao ma-ex bado wana mahusiano ya kingono kwa sana tu ... hizo guts za kuandaa birthday sio mchezo ... kwa watu wasio na mawasiliano ya karibu ni kitu ambacho hakiwezekani!!
2. mke wa jamaa yuko kizani ... hajui kama mumewe alikuwa / ana mahusiano na jamaa ... ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa yeye kuliruhusu hilo na kuweza kushiriki ... ili lajionesha katika participation ya huyo ex-shosti kuwa mbali wakati wa events za kulishana keki ... she & he were trying to hide their active status!
dada zangu ... siku hizi watu wanaoongoza kwa kutembea na waume za watu ni marafiki za mawifi, marafiki (madashosti) zenu wa kike, wakina mama / dada majirani, na ma-ex wa waume zenu. Kuweni makini ... hawa watu ni hatari kuwa karibu na waume zenu!!
... i'm out!!
Nimesoma imebidi nigonge tu thanks nakunyamaza maana haya mazito tena mno