CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,782
Nimesema kikao cha mwisho tulichokaa tulikubaliana huyu mbali na ulinzi na sanamu yake ya dhahabu pia apewe ubalozi wa kudumu na phD ya heshima kwenye masuala yote yanayohusu mahusiano baina ya jinsia ya kike na kiume!Unasema!!!??