Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,035
2,000
Mbona tulishakubaliana huyu apewe ulinzia na kujengewa sanamu yake ya dhahabu pale Mlimani City. NaulIza jamaa zangu hili zoezi limekamilika ama la!
 
Hardwood

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,008
2,000
Monogamy ni concept ya western religions uliypokea hapo juzi juzi

Ni sawa,most definitely naturally monogamy is more aleviating than polygamy kwenye malezi ya watoto

Since watoto ni kitu muhimu zaidi ya raha za nyie wanadamu watu wazima,monogamy ni superior maana ni exclusive beneficial to the kids of that marriage

Ila kama nyie watu wazima mnaangalia manyege yenu na matamaa yenu ya kutombana na ufirauni wa ma3some and other nonsenses kuwaridhisha nyie na matamaa yenu then polygamy will be best for them but not kids.

Since jamii zetu centre of the family ni manyege ya baba na mawanake yake,then polygamy inakua justified

Ila jamii za weupe watoto ni centre ya family unit,then polygamy is nonsense na monogamy is the best!

Njoo angalia matokeo yake sasa,wazungu wanafanikiwa zaidi ya waafrika katika ubora wa familia zao!

I concur 100%. Kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa polygamous Muslim Father. Extremely Intelligent, lakini ali-disturb maisha ya uzao wake kwa haya maisha ya mitala. Kwanza, wake wa huyo mzee wao kwa wao walikuwa wakifanyiana fitina nyingi na ushirikina ili kulinda relevancy zao kwa mzee. Kingine, watoto walikuwa waki-tafsiri maslahi yao kupitia kwa mama zao wala si kwa baba yao, yaani watoto waliotoka tumbo moja always wanasimama pamoja kabla ya kujichanganya na watoto wa Mama mwingine. Yaani familia ilivunjika vipande vipande baada ya huyo mzee kufariki. To this day, inahitajika nguvu ya ziada kuirudisha hii familia pamoja. Finally, talaka zilikuwa nje nje...yaani a minor misunderstanding that could be solved by a simple dialogue inaishia kwenye talaka.

Through the lesson I learnt from this family, I got a very important experience about how dangereous polygamy might be to family union, and I hated it ever since. Leo hii nina ndoa ya mke mmoja and the biggest memory I have about marriage ni ya huyo mzee.
 
Tatizo umeweka kitalaam zaidi na kama haitoshi unatusimanga sana
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,035
2,000
Unasema!!!??
Nimesema kikao cha mwisho tulichokaa tulikubaliana huyu mbali na ulinzi na sanamu yake ya dhahabu pia apewe ubalozi wa kudumu na phD ya heshima kwenye masuala yote yanayohusu mahusiano baina ya jinsia ya kike na kiume!
 
Dreadnought

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
2,162
2,000
Zamani wenye mali nyingi ndio walikua na wake wengi

Mwanaume anakua na mashamba na mifugo maeneo tofauti kwa hiyo anakua na uhitaji wa kuwa na miji huko azae na watoto kwaajili ya kuendeleza uzalishaji

Sasa hivi ni ni kama tamaa tuu, hana alichowekeza, hazalishi mali, hata nyumba moja mtu hana anataka kuongeza.....
Usiseme tamaa , kwa hiyo ukiwa na uwezo utakataka kuongeza mke si tamaa?

Ila ukiwa huna uwezo ukataka kuongeza mke ni tamaa?

Mimi nasema ni hulka tu ya kiume uwe na fedha au usiwe nazo bado utapenda tu wanawake.
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,576
2,000
Dini ya kiislamu imeruhusu wake wengi ila kwa vigezo viwili mwanaume awe na uwezo wa mali na hata kimwili kuwatosheleza wake zake nje ya hapo hamna kazi.
Ngoja nikuweke sawa bibie,siyo uwezo wa mali bali uwezo wa kuwahudumia,yaani kuwalisha,kuwavisha na malalo. Sharti la pili umesema kweli kabisa.
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,576
2,000
I concur 100%. Kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa polygamous Muslim Father. Extremely Intelligent, lakini ali-disturb maisha ya uzao wake kwa haya maisha ya mitala. Kwanza, wake wa huyo mzee wao kwa wao walikuwa wakifanyiana fitina nyingi na ushirikina ili kulinda relevancy zao kwa mzee. Kingine, watoto walikuwa waki-tafsiri maslahi yao kupitia kwa mama zao wala si kwa baba yao, yaani watoto waliotoka tumbo moja always wanasimama pamoja kabla ya kujichanganya na watoto wa Mama mwingine. Yaani familia ilivunjika vipande vipande baada ya huyo mzee kufariki. To this day, inahitajika nguvu ya ziada kuirudisha hii familia pamoja. Finally, talaka zilikuwa nje nje...yaani a minor misunderstanding that could be solved by a simple dialogue inaishia kwenye talaka.

Through the lesson I learnt from this family, I got a very important experience about how dangereous polygamy might be to family union, and I hated it ever since. Leo hii nina ndoa ya mke mmoja and the biggest memory I have about marriage ni ya huyo mzee.
Huo ni udhaifu wa wahusika,ila ndoa za mitaala hazina migogoro kushinda ndoa za mke mmoja.

Kuhusu fitina popote zipo.
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,856
2,000
I concur 100%. Kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa polygamous Muslim Father. Extremely Intelligent, lakini ali-disturb maisha ya uzao wake kwa haya maisha ya mitala. Kwanza, wake wa huyo mzee wao kwa wao walikuwa wakifanyiana fitina nyingi na ushirikina ili kulinda relevancy zao kwa mzee. Kingine, watoto walikuwa waki-tafsiri maslahi yao kupitia kwa mama zao wala si kwa baba yao, yaani watoto waliotoka tumbo moja always wanasimama pamoja kabla ya kujichanganya na watoto wa Mama mwingine. Yaani familia ilivunjika vipande vipande baada ya huyo mzee kufariki. To this day, inahitajika nguvu ya ziada kuirudisha hii familia pamoja. Finally, talaka zilikuwa nje nje...yaani a minor misunderstanding that could be solved by a simple dialogue inaishia kwenye talaka.

Through the lesson I learnt from this family, I got a very important experience about how dangereous polygamy might be to family union, and I hated it ever since. Leo hii nina ndoa ya mke mmoja and the biggest memory I have about marriage ni ya huyo mzee.
Mhhh hatari
Yataka uelewa mpana
Dr.Mwaka anawezaje?.
 
Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,822
2,000
Mke wangu ameniruhusu kuoa wanawake wasizidi 2 kwa sharti la yeye awe na watoto 4.
Sasa jinsi alivyo mwema sidhani kama nitaoa mwingine anavyonipa ni raha sana
Mwamba unabahati sana huyo mwanamke ako na sehem ya pekee peponi
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,729
2,000
Ninawivu kama nyenyere,nikipenda napenda na sijifichi,ni ngumu lakini ukiniweka wazi nitakupenda zaidi
Ukinidanganya halafu nikagundua

Wakristo ni vile viapo vinatufunga hatukubali kuhalalisha lakini wanaume wanatoka tu
ngumu kumeza.
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,045
2,000
Hivi huu wivu unasababishwaga na nini haswaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yaani tunaonaga nini kinapungua.... au wivu tuu basi🀣🀣🀣🀣
Asprin
Nikajua umeniita kwenye mambo ya msingi kama bia na K Vant

Kumbe mambo ya wivu..... khaaaaa!!!!

Mimi huwaga sina wivu sema tu karoho kangu huwa kanaumaga kiaina
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,524
2,000
Watu wanajitahidi kuandika nadharia zaidi kuliko uhalisia.
Hao wazungu ndoa za mke mmoja zingekuwa Bora wasingegeukia kwenye ushoga na usagaji.
Na tunasahau ni kuwa wazungu wamerahisisha sheria zao za ndoa na kuwa serial polygamist
Yaani anaoa huyu anampa talaka baada ya muda anaoa mwingine.
Hii Ina utofauti gani na sisi tunaokuwa nao wote?
Mfarakano wa familia unategemea na baba Ana msimamo gani kwa wake zake na watoto wake. Pia inategemea na wake zake Wana akili gani.
Ubinafsi wa wanawake ndio huwa tatizo kubwa kwenye jamii.

Mmesahau pia kuwa wanawake wako wengi mitaani na wanahitaji kuwa na familia.
Wengine wanaendelea kuijaza dunia Ila baba wa hao watoto hawajulikani. Kwa nini tuendelee kufichama?
Hawa wanawake hawajaolewa lakini Wana watoto wamezaa na wanawake wenzao?
Kwa nini jamii imekubali unafiki kuliko uhalisia uliopo?
Wanaume ambao ni wanaume kweli tumekuwa wachache Sana. Wenye uwezo wao waongeze wake tu. Hata zamani walikuwepo wenye mke mmoja na wenye wake wengi. Uwezo wako wa kuhudumia tu. Shida ni pale unapokuwa na uwezo mdogo unaanza kumshangaa mwenzako kuongeza mke.
Na kuanza kushawishi watu wawe Kama wewe. (Mambo ya Paulo haya)
Kila mtu apambane na hali yake na dunia tuiache ijiendeshe.
Ndoa ya mke mmoja ingekuwa Bora basi hizi kero watu wasingekuwa nazo na kesi za talaka zisingekuwepo.
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,524
2,000
I concur 100%. Kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa polygamous Muslim Father. Extremely Intelligent, lakini ali-disturb maisha ya uzao wake kwa haya maisha ya mitala. Kwanza, wake wa huyo mzee wao kwa wao walikuwa wakifanyiana fitina nyingi na ushirikina ili kulinda relevancy zao kwa mzee. Kingine, watoto walikuwa waki-tafsiri maslahi yao kupitia kwa mama zao wala si kwa baba yao, yaani watoto waliotoka tumbo moja always wanasimama pamoja kabla ya kujichanganya na watoto wa Mama mwingine. Yaani familia ilivunjika vipande vipande baada ya huyo mzee kufariki. To this day, inahitajika nguvu ya ziada kuirudisha hii familia pamoja. Finally, talaka zilikuwa nje nje...yaani a minor misunderstanding that could be solved by a simple dialogue inaishia kwenye talaka.

Through the lesson I learnt from this family, I got a very important experience about how dangereous polygamy might be to family union, and I hated it ever since. Leo hii nina ndoa ya mke mmoja and the biggest memory I have about marriage ni ya huyo mzee.
Shida umeweka kichwani kwako image ya kibaya Ila vizuri umeviona ni kawaida.
Ninaamini ulikokuwa unaishi kulikuwa pia na wazee wenye wake wengi waliofanikiwa.
Lakini unataka kutuaminisha kuwa mitala ni mibaya kwa familia moja tu!!
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,742
2,000
I concur 100%. Kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa polygamous Muslim Father. Extremely Intelligent, lakini ali-disturb maisha ya uzao wake kwa haya maisha ya mitala. Kwanza, wake wa huyo mzee wao kwa wao walikuwa wakifanyiana fitina nyingi na ushirikina ili kulinda relevancy zao kwa mzee. Kingine, watoto walikuwa waki-tafsiri maslahi yao kupitia kwa mama zao wala si kwa baba yao, yaani watoto waliotoka tumbo moja always wanasimama pamoja kabla ya kujichanganya na watoto wa Mama mwingine. Yaani familia ilivunjika vipande vipande baada ya huyo mzee kufariki. To this day, inahitajika nguvu ya ziada kuirudisha hii familia pamoja. Finally, talaka zilikuwa nje nje...yaani a minor misunderstanding that could be solved by a simple dialogue inaishia kwenye talaka.

Through the lesson I learnt from this family, I got a very important experience about how dangereous polygamy might be to family union, and I hated it ever since. Leo hii nina ndoa ya mke mmoja and the biggest memory I have about marriage ni ya huyo mzee.

Is it just from the instance of that Mzee mmoja you come up with general conclusion that polygamy is a curse???--- have you go around and have a search to observe other polygamous families how they lead their lives??, hatuwezi kupinga kwamba kuwepo kwa pros lakini pia cons lazima ziwepo katika maisha ya jamii ya watu na hata ndani ya monogamous families kuna pros and cons.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,742
2,000
Mimi binafsi na roho yangu na Wivu wangu nimekataa, Kwanza hata mkataba wangu na yeye hausemi hivyo..... na kuna vitu vingi hatufanya hiyo pesa ya kugawa kwa mwanamke mwingine inatoka wapiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wanaume mnavyolalamika wanawake wamekua watata kwenye hili mtaweza kweli??

View attachment 1857293

Mwanamke mwenzangu kakazia kabisa "The early you accept polygamy the better" πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hii kitu inapendwa na wanaume wote au ni kwa baadhi ya wanaume tuu?πŸ€”πŸ€”

mamad.

Ni hivi, wanawake wengi wamejingewa au wamejijengea woga kuhusu mitaala kutokana na uchoyo na ubinafsi tabia ambayo ni asili ya binadamu, mfano ni asili ya binadamu kuogopa kifo huku anatamani kuingia peponi, utapataje pepo bila kufa??!!.

Katika Uisilamu ndoa ya mitaala inalo sharti moja la UADILIFU, mume anapokuwa na HAJA au ulazima wa kuongeza mke ni lazima ahakikishe kwamba atawatendea mahitaji yao kwa uadilifu kama hatoweza uadifu Qur'an inasema; Ni BORA abaki na mmoja vinginevyo kwake mitaala itakuwa ni kiwanda cha kujitengenezea madhambi.

Ni Zipi Haja na faida za kuoa mke zaidi ya mmoj:-

1-----Wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume, Mungu hakuumba hivyo kwa makosa bali makusudio maalumu kuendeleza uzao wa watu duniani inabidi uwiano uwe hivyo na hata kwa wafugaji wa ng'ombe, kuku nk, ili kuendeleza uzao kwa mifugo yao utakuta Madume mawili kwa majike wengi au jogoo mmoja kwa makoo wengi nk.

2------Kulinda heshima na hadhi ya jamii; ni hivi heshima ya jamii ni pamoja na maisha ya staha ya watu wake, sio staha wanawake wawe wengi mitaani wakirandaranda bila kuolewa, hatari yake ndiyo vyangudoa na ukahaba na madanguro kuongezeka na watoto wasiokuwa na baba kuongezeka na hao watoto wakikosa malezi wanakuwa vibaka na wavuta unga nk, katika ukahaba ndimo magonjwa ya zinaa yatapatikana na kumbuka wateja wa hao makahaba ndio hao waume zenu mnaowatisha wasioe mke mwingine zaidi yako, unakataa mke mwenza unapokea Ukimwi na Hepatitis nk.

3----- Kumbuka wanawake wanaoranda mitaani kwa kukosa kuolewa hao ni ama mdogo wako, mtoto wa ndugu yako, mama yako mdogo, shangazi yako na hata anaweza kuwa ni mwanao, je unaweza kuwa ni mtu mwenye furaha kuona mwanao au nduguyo yeyote anaranda mitaani kutafuta wanaume wa kukidhi haja zake za kimwili kwakuwa tu hakuolewa???

4----Wanaobomoa ndoa za mke/mme mmoja ni nyumba ndogo, ushahidi uliopo ni kwamba ndoa za mke/mume mmoja zimekuwa zikibomoka kutokana na nyumba ndogo, mume ananogewa na nyumba ndogo mwishowe anatelekeza nyumba kubwa, yote hii isingekuwepo kama nyumba ndogo "zingehalalishwa" kupitia mitaala.

5-----Maradhi kwa Mke, inaweza kutokea mtu kaoa mke baada ya muda fulani mke akashikwa na maradhi ya kudumu kama ya kigenetic nk, na akashindwa kabisa kumuhudumia mumewe hapo mitaala inaswihi ili huyo mke mwenza aje kuwahudumia wote mume na mwenzake aliyekuwa mgonjwa, haitakuwa ubinadamu kumpa talaka huyo mgonjwa na kuoa mke mwingine.

6----- Kukuza uzao, mara nyingi inatokea watu wanaoa wanawake tasa na inapogundulika hivyo basi mitala inaswihi ili kuendeleza uzao, mke tasa sio ubinadamu kumpa talaka.

7-----Kukuza uzao wenye vipaji vingi, mbali na malezi kuna vipawa watu huwanavyo kutokana na vinasaba hivyo mitala ni njia mmoja ya kukuza uzao wenye vipaji kadhaa.

8--- Kukidhi haja za mume, lazima tukubaliane kwamba kuna wanaume wengine wana nguvu kubwa sana katika tendo wameumbwa hivyo na Mungu, watu wa aina hiyo wanapoweza kutimiza like sharti ya mitala basi ni ruksa kuongeza mke ili kumpunguzia "mzigo" mke mmoja na ili asiwe na nyumba ndogo.

NB: Wanawake wenye khofu na Mungu na wanaojua faida ya mitala hao ndio wanaoweza kuolewa na amani ikapatikana ndani ya nyumba na sio wale wanawake wenye tamaa ya matumbo yao na tamaa za watoto wao, wanawake wa aina hiyo ya tamaa katika nyumba ni kama jehanamu ndogo, hawafai katika mitala.
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,814
2,000
Ninawivu kama nyenyere,nikipenda napenda na sijifichi,ni ngumu lakini ukiniweka wazi nitakupenda zaidi
Ukinidanganya halafu nikagundua😁😁

Wakristo ni vile viapo vinatufunga hatukubali kuhalalisha lakini wanaume wanatoka tuπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
Muendelee tu kutubeba na kutuhifadhi. Tutaendelea kuwapenda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom