Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Acha uoga mkuu , chukulia poa ni jambo la kawaida

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona mwanamke anakutongoza , jua huyo mwanamke ni kahaba..

Mwanamke wa kweli hakutongozi ila akikuelewa atakurahisishia mazingira ya wewe mwanaume kumtongoza..

Na usipo mtongoza atakudharau sana moyoni mwake
 
Ukiona hivyo ujue wamekubuhu, Mungu aliwafunika na blanketi la aibu, itakuwaje aweke hilo blanketi pembeni? Aibu ni asili ya mwanamke!!
 
Wavulana ni wengi sana kwenye hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…