MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,696
- 4,979
- Thread starter
-
- #101
I dunno!! Huyo mtu alinipigia simu, akajitambulisha kuwa ni mwanafunzi wa IFM, then akaomba kuwa rafiki yangu ...nikamuuliza kama ananifahamu , akasema hanifahamu ...nikamwambia kuwa ni wrong number. Nikamkatia simu.Unafikiri kwanini alikuwa aqkupiga sound wewe na si mwingine
Mkuu shikilia hapo hapo sawaaa................π€π€ππKwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.
Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.
Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January,... ( Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda? )
Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwΓ kutojali kabisa hisia / maneno yao )
Kaboy kalivulishwa kibabe hiyo boxer, ina maana huzijui boxer za enzi zile ilivyokuwa?
Namba yako sasa aliipatajeI dunno!! Huyo mtu alinipigia simu, akajitambulisha kuwa ni mwanafunzi wa IFM, then akaomba kuwa rafiki yangu ...nikamuuliza kama ananifahamu , akasema hanifahamu ...nikamwambia kuwa ni wrong number. Nikamkatia simu.
Baada ya siku kadhaa akanipigia tena,...na kunikumbusha the last conversation...nikamwambia simjui...kisha akaomba nimsikilize...na hapo ndipo akafunguka ...nikamblock immediately baada ya kusikia upuuzi wake.
Then akaendelea kunitafuta kwΓ namba tofauti tofauti..na kila nilipokua nikisikia sauti yake..nikawa nablock.
Mwisho nikaamua kuwaeleza mates zangu jambo hilo, na kwΓ bahati nzuri kuna siku alipiga na wao wakiwepo...nikamweka loudspeaker...na hapo ndipo ukawa mwisho wa yeye kunitafuta tena.
Sijui. Hata matapeli huwa sielewi namba yangu huwa wanaipate. Maana unaweza kuwa umetulia zako, then utashangaa unapokea simu ya mtu au meseji ya kukwambia umeshinda Biko,..Namba yako sasa aliipataje
PoaMkuu shikilia hapo hapo sawaaa................[emoji851][emoji851][emoji4][emoji4]
Pengine kuna pahala alipatiwa haja ya moyo wakeSijui. Hata matapeli huwa sielewi namba yangu huwa wanaipate. Maana unaweza kuwa umetulia zako, then ukashangaa unapokea simu ya mtu au meseji ya kukwambia umeshinda Biko,..
Au meseji ya Mganga wa kienyeji / Freemasons
ntongoze basiπmshamba_hachekwi nasubiri comment yako huku
me naulizia kama ulishawahi kutongozwa, au haijawah kukutokea ππntongoze basiπ
Nasikia siri ipo kwenye TESTOSTERONEMtoa mada pamoja na wote wanaotoa ushuhuda wa kutongozwa na wanawake inaonekana sio watu wa mademu yani inawatokea mara kwa mara afu inaangukia kwa watu ambao hawapendi kabsa mademu, hahahaha this is JF....waje wengine watoe ushuhuda wa tofauti, nategemea aje mtu aseme bahati ilimwangukia afu akawanyoosha kwelii kweli, inakuaje wote wanaoangukiwa na hii bahati sio watu wa totoz?! Coincidence or?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
maisha yangu magumu.... kwanza wadada wanapenda kunitania mi mweusi na nina pua kubwaπme naulizia kama ulishawahi kutongozwa, au haijawah kukutokea ππ
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈmaisha yangu magumu.... kwanza wadada wanapenda kunitania mi mweusi na nina pua kubwaπ
nateseka ππ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
basi tu itakua hauna bahati, maana mwenzio mara nne anatongozwa na wanawake tofautinateseka π
nifanyie wepesi basi πbasi tu itakua hauna bahati, maana mwenzio mara nne anatongozwa na wanawake tofauti
tatizo lenu hua hamkataaginifanyie wepesi basi π
naanzaje kukataa na huu ugumu nlionao πtatizo lenu hua hamkataagi