ukichunguza si wewe wanaekutongoza bali kile wanachohisi unaweza kuwapa baada ya kukubalia.Hatari sana! Meaning...usipokua makini..unaweza jikuta unatembea na kila mwanamke anayekutongoza.
Du.Ni mwanafunzi mwenzako?Hii ilishawahi kunitokea nikiwa Chuo 2nd year...., jamaa alikua anataka nikamzibue. Nilishangaa sana.
Sasa hapa ndo napata picha kamili,...Mimi ni maharage ya mbeya mkuu.
Yani nitongozwe na mwanamke alafu nikatae? Thubutuuu!!
Mie nilikufungukia huko PM ukakataakama tangazo hivi
Ujue kuna mambo yanashangaza sana. Wakati mwingine inabidi kushare ili ujifunze kitu.Kutongozwa na mdada tu umeanzisha uzi jf ukitongozwa na mwanaume mwenzio si utatangaza kwenye vyombo vya habari mkuu
Tafuta pesa..sura hata mbuzi anayo.Sisi wenye sura mbaya hizo bahati hazitukutagi.
I gotcha buddy! [emoji41]ukichunguza si wewe wanaekutongoza bali kile wanachohisi unaweza kuwapa baada ya kukubalia.
Imekaa kimslahi zaidi. Kama ilivyo wanaume tunatongoza mademu tuwalale wao wanatutongoza ili tuwahadumie.
Hivyo kwa wepesi unaweza iita ni "Business Proposal". They give punani and in turn you pay for her upkeep.
lini, mbona PM ina kufuli kitambo sana ?Mie nilikufungukia huko PM ukakataa
Mkuu why umeeka kufuli?lini, mbona PM ina kufuli kitambo sana ?
Mim hunitokea sana hii hali ila nilishajiwekea mipaka .. ukiona mwanaume unatongozwa na mwanamke ujuwe wewe unaetongozwa una kitu kizuri mwanamke anataka akichukue, akuibie au ajimilikishe iwe kimwili au kiroho hivyo kwa upande wangu mwanamke yeyote duniani akinitongoza si dalili nzuri kwangu na lazima ntamkwepa au ntamchana kwamba simtaki..Kwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume...
sitaki vishawishiMkuu why umeeka kufuli?
Alikua mwanafunzi wa Chuo cha IFM. Hii kitu ilibidi niwashirikishe roommates...kwΓ kuwawekea loudspeaker ili wamsikie jamaa akiomba mchezo huku akijilizaliza kama mwanamke....Du.Ni mwanafunzi mwenzako?
Basi karibu mjini...πMwitongo
What a great point! (Goosebumps!!! )Mim hunitokea sana hii hali ila nilishajiwekea mipaka .. ukiona mwanaume unatongozwa na mwanamke ujuwe wewe unaetongozwa una kitu kizuri mwanamke anataka akichukue, akuibie au ajimilikishe iwe kimwili au kiroho hivyo kwa upande wangu mwanamke yeyote duniani akinitongoza si dalili nzuri kwangu na lazima ntamkwepa au ntamchana kwamba simtaki..
Inspector Harun au sio?Mpaka umefikia hatua ya kutongozwa mara nne ni wazi wewe ni "Inspector".
Me mwenyewe hi hali imenikuta Sana since January bahati nzurii na me sio mzinzi na hali yangu ya kiroho namshukuru MUNGU ni nzurii kwaiyo Huwa nawakunyia t ila ukiwakunyiaa wanakuchukiaa sanaaaaaaaaaa ππKwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume...
Na mwanaume anashawishiwa nilikua sijuisitaki vishawishi