Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

ukweli mchungu ni kwamba, demu yeyote anayefunguka wazi kwa ME ni malaya aliyekubuhu, ukikubali ombi vaa ndom 3 utanishukuru
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Mzee kuna time uzalendo unawashinda wanakosa confidence Mpaka wanatamka wenyewe...Hii inatokea sana sema wanawake wanaongopa kukataliwa .

Pia wengi wanakosa confidence je atanichukuliaje ?

Wachache watakupakazia kwa watu kwamba mtu fulani anampenda hata marafiki zake wanajua hilo sema hajakuambia ..
 
Ehhh, kumbe ndo imekuwa ivo, mbona sie wengine hata kutongozwa na kutongoza hatujawahi.... nyie imekuaje mnapata hzo bahati jamanii....[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…