Hii imekaaje wakuu....

Hii imekaaje wakuu....

Katika peak ya kupenda au?
Ndo ivyo. Ila Mkuu apo apo Inabdi ujua anaumri gani huyo mlimbwende, isije ikawa wewe ni first love kwake so expect vitu kama ivo ila mda mwingine ni upendo umetua kwako. Na kama unampenda na hupendi kero za simu mfanye awe busy itapungua kiaina. Naamini ubize wake ndo ndo suluisho ya kero yako kwake
 
Ndo ivyo. Ila Mkuu apo apo Inabdi ujua anaumri gani huyo mlimbwende, isije ikawa wewe ni first love kwake so expect vitu kama ivo ila mda mwingine ni upendo umetua kwako. Na kama unampenda na hupendi kero za simu mfanye awe busy itapungua kiaina. Naamini ubize wake ndo ndo suluisho ya kero yako kwake
23
 
Ngoja nikupe mfano mzuri mkuu. Mwanamke wangu ninaetarajia kumuoa mda usio mrefu ni sinario kama yako. Kiukweli mimi nilikuwaga mzee wa chapa ilale ila Kwa huyu nilisanda yani huyu kiumbe alikuwa anonyesha upendo level ya kubwa mpaka kumtenda nikawa naogopa kufanya mauaji ya alikuwa anakaba kila engo yani anakaba mpaka penalt huwezi amini nilikuwaga napata kero mno sababu sikuwa na mapenz kiivo nae yani alikuwa na ziara za kushtukia ghetto na maskani zote nazokaa mpaka sas nikawa naogopa kuchepuka najua uyu Mwanamke mda wowote. Ilikuwa ni kero kwangu ila siku nilijua nampenda na nimemiss vituko vyake aloposafiri 1week afu kabla ya kusafiri tuligombana ase mkuu nilipungua. Kiukweli huyu Mwanamke kanibadilisha na naweza kusema kwangu ni champion japo bado sijatimiza ahadi ila soon inshaalaah
 
Mapenzi yameshawashinda ninyi, tafuteni ustaarabu mwingine...as long as ninyi si mume na mke

hapa kama sikosei jamaa kashagegeda ahahahha. yaani ndio tatizo ukishamgegeda mwanamke ndio basi tena unaona kero tuu unataka tafuta papuchi nyingine
 
Ukiyachukulia seriously maudhi yake, utaumia na utamuacha tena ilhali anakupenda kutoka moyoni. Tena nawe yawezekana unampenda hata zaidi.

Yaani huyo yuko nusu hai nusu mfu kwa penzi lenu.
 
Au jamaa ashaanza kumlia timing mchuchu mwingine...
hapa kama sikosei jamaa kashagegeda ahahahha. yaani ndio tatizo ukishamgegeda mwanamke ndio basi tena unaona kero tuu unataka tafuta papuchi nyingine
 
Achana naye huyo, tafuta ambaye hatokupa kero.
 
Love leads,mkuu huyo mtt wa watu kafa kaozaaa,ulioyaeleza ni minor sanaa ebu fanya kujali hisia za mwenzako mkuu,cc ndo tunaomba tupate wa aina hyo
 
Habari za jioni mabibi na mabwana.

Nimeona niilete hii kwenu pia nisikie mnasemaje.

Mimi ni kijana wa kiume miaka 25. Kuna mdada nilitokea kumpenda sana kutokana na uzuri wake, tabia na ukarimu wake. Moyo wangu ulidondokea hapo.

Nilimtoa date moja na tulienjoy sana, kwenye maongezi yetu, body language, tulikuwa tunaendana vizuri. Na ilikuwa kila siku lazima tuwasiliane kwa text messages kila siku, kila wakati.

Ikafika wakati nikamchombeza naye akakubali bila shida tuwe wapenzi kwa kuwa hata yeye alinikubali.

Tukaanza mahusiano rasmi kama wapenzi.

Kadri siku zilivyokuwa zinakwenda naanza kuona mambo yanakuwa tofauti. Naanza kuhisi kama kuna vitu mwenzangu anazidisha mno mpaka inaanza kuwa kero kwangu.

Mimi ni mtu mmoja mpole, mtaratibu, sipendi mambo mengi, an introvert. I like to have some breathing space. Napenda maisha yangu ya kawaida yaendelee.

Ila yeye akaanza kuwa clingy and needy. Atapiga simu siku nzima bila kujali nipo kazini, au nipo barabarani. Na usually nikipokea huwa hamna cha kuongea since siku nzima tumeshinda tukiwasiliana kwenye text message so nafahamu siku yake imeendaje na anafahamu kila kinachoendelea kwangu.

Ilifika kipindi anapiga simu tunasalimiana, halafu anakaa kimya kwa nusu dakika mpaka inabidi nimshtue tena halafu tunaagana.

Baada ya nusu saa anapiga tena na story ni ile ile. Na ana namna ya kuongea kwenye simu ambayo ni ngumu kumwelewa anachoongea, sijui ndio mapozi lakini inabidi utumie nguvu za ziada kumwelewa anachoongea kwenye simu

Outing zetu za hapo mwanzo zilikuwa nzuri sana na nilikuwa naenjoy company yake kichizi. Ila kadri siku zinavyokwenda naona hali inabadilika.

Tunaenda sehemu nzuri, tunaspend 4 hours pamoja tukienjoy. Hapo mimi naona imetosha tuondoke lakini yeye atang'ang'ania tuendelee kubaki hapo for 4 more hours, bila sababu maalumu.

Hakuna tunachofanya na unakuta amechoka sana na usingizi umemshika, basi atajilaza hapo kwenye kifua changu, lakini hataki kwenda nyumbani ukifikiria i am already tired of mazingira hayo.

Shida kubwa ni hii contrast in personality.
I love the girl, but i feel suffocated na nimemwambia more than once, anasema ameelewa lakini haionyeshi katika maongezi na matendo yake.

Analalamika nikiangalia mpira, analalamika nikicancel appointment yetu ili kufanya issue ya maana inayohusu kazi zangu,

Imefikia kipindi anapiga simu naiona inaita lakini sipokei au natafuta namna ya kucancel appointment zetu.

Kuna wakati nilitaka kumwacha lakini ananipenda mno na yupo desperate. Na hata mimi nampenda lakini vitu anavyofanya vinanifanya nipoteze interest taratibu.
According to my experience, once a day she gonna start to live life u like,u must suffer and ask yourself why she becomes like this?There's someone else?Take care buddie
 
Kama kweli unampenda hapo inabidi uwe mvumilivu tu hakuna jinsi.
 
According to my experience, once a day she gonna start to live life u like,u must suffer and ask yourself why she becomes like this?There's someone else?Take care buddie
Actually my love for her is dying day after day. A month ago, i discovered a few things about her some of which she lied to me about.

Sio big issues kivile ila kutokana na hayo hata ule upendo ambao nilikuwa nao kwake unazidi kufa siku baada ya siku.

We are keeping distance for the time being ila her love for me ndio inazidi kuongezeka siku baada ya siku wakati mimi huku wala sioni shida kumwacha and i actually broke up with her, na tukarudiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you really love the lady, please ebu yapuuze yote yanayo kukera. Na jitahidi kutazama yale tu yenye yanakupendeza and trust me hauto kaa ujute.
Mimi kwa mtazamo wangu naona kama ninyi nyote mnapendana sana, na nawatazama kama vile mtafika mbali kwa mujibu wa rangi ya maandishi yako.
Nakushauri tu upunguze kisirani na mfanye binti kuwa rafiki wako. Pia achana na tabia ya kupenda kukaa peke yako, na usipende sana kukasirika kila unapo sikia unnecessary noises
Well said mkuu, ingawa hata nami napenda sana kuwa mwenyewe mda mwingi.
 
Back
Top Bottom