Hii imekaaje wakuu....

Hii imekaaje wakuu....

Hatimaye safari imefika mwisho
Kama kawaida mkuu, ujuwe haya mambo ni kikohozi. Na kwetu sisi kujikwaa ni kawaida pasipo kujalisha ni wapi ama lini tutajikwaa......
So, please come this way penye tulizo la mtima...
 
Umenipa mtazamo tofauti kidogo.
Nashukuru mkuu
Jaribu kufikiri nje ya box chief, and don't take woman's so serious hata unapata hasira.
Na ili umuweze mwanamke, jifunze kumtangulia/kumzidi kufikiri na trust me... Utaishi kwa amani tele
 
Jaribu kufikiri nje ya box chief, and don't take woman's so serious hata unapata hasira.
Na ili umuweze mwanamke, jifunze kumtangulia/kumzidi kufikiri na trust me... Utaishi kwa amani tele
Kiukweli nampenda sana, sema ni hivi vitu vinavyonipa shida aisee.
 
Asante mzee baba
C'moon mkuu, this is real tafadhali....
Na hata kama ni ndoto, niwadada wachache sana wenye wanapata this kinds of sweet dreams... Especially kutoka kwa vijana poa kama Ushimen
Hii ni bahati yako ya pekee kabisa mkuu....[emoji28]
 
Kiukweli nampenda sana, sema ni hivi vitu vinavyonipa shida aisee.
If you really love the lady, please ebu yapuuze yote yanayo kukera. Na jitahidi kutazama yale tu yenye yanakupendeza and trust me hauto kaa ujute.
Mimi kwa mtazamo wangu naona kama ninyi nyote mnapendana sana, na nawatazama kama vile mtafika mbali kwa mujibu wa rangi ya maandishi yako.
Nakushauri tu upunguze kisirani na mfanye binti kuwa rafiki wako. Pia achana na tabia ya kupenda kukaa peke yako, na usipende sana kukasirika kila unapo sikia unnecessary noises
 
Kipengele cha kumkula cjakiona, au ndo bado bado unasubir
Kijana anaonekana ni mstaarabu, namtazama kama anampenda sana bidada pale ingawa anakerwa na vijimambo viduchu......
Dogo anaonekaka kama bado hajalewa kama sisi kaka zake ndio maana anafunguka kistaarabu zaidi.
Lakini namtazama kama kijana mwenye Vijimisimamo vyake flani ambavyo mara nyingi humuudhi sana, ingawa huwa anajitahidi sana kuto kuonyesha hasira zake kwenye sura
 
If you really love the lady, please ebu yapuuze yote yanayo kukera. Na jitahidi kutazama yale tu yenye yanakupendeza and trust me hauto kaa ujute.
Mimi kwa mtazamo wangu naona kama ninyi nyote mnapendana sana, na nawatazama kama vile mtafika mbali kwa mujibu wa rangi ya maandishi yako.
Nakushauri tu upunguze kisirani na mfanye binti kuwa rafiki wako. Pia achana na tabia ya kupenda kukaa peke yako, na usipende sana kukasirika kila unapo sikia unnecessary noises
I will consider that
 
Katika peak ya kupenda au?
Huyo anakupenda sana. Mwanamke anayekupenda yupo hivyo anakuwa anatamani kila saa uwe naye yaani hata kama ni saa 8 usiku atakupigia simu. Una bahati sana. Wanawake wa hivyo wapo wachache sana tena wakutafuta kwa tochi. Hongera sana
 
Back
Top Bottom