Hii imekaaje wakuu

MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
7,986
6,247
Yani Kunguni ataombewa..
Seriously??
20190719_195943.jpeg
 
Huyu mchungaji hapitwagi na jambo

Yeye huenda na zinazo trend

Kama ni simba, amber rutty, taifa stars naye anajichomekaga humo humor

Anyways 2020 twende na msiba
Hapa utekeji na manyanyaso tu
Anafanana sana tabia yake na ya chama fulani
 
tehteh unaweza jifanya kiherehere unaenda kwenye maombi,,,
Mara Paap Mungu anawapiga radi,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom