ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 888
- 1,466
Ni kawaida mkuu.Ahsante maana naona wengine wamnipuuza
Ni kawaida mkuu.Ahsante maana naona wengine wamnipuuza
Kama ushawishi kusikia mtu amekutana na shetani uso kwa uso ndiyo wewe sasaNimekutana na Pisi [Mrembo] moja hivi, ni kama mwezi sasa hivi. Basi nikaamua kumwaga zangu verse, demu akakubali na akaniambia kama amenipenda toka muda, lakini hataki mahusiano na mtu yeyote.
Ananiambia pia anapata wivu nikiwa nimechill na madem wengine. Sasa sijui hii imekaaje au ni tapeli? 😁😁😁