Hii imekaaje Naomba ushauri...

Imekaa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunadili la kulima njegele mkuu
 

Kuna kitu unachotafuta zaidi ya ushauri na hii story ume I pimp kufikia lengo, wewe ndo muwekezaji wa kwanza ambaye anakuwa huru man hana la kufanya kwa miezi 3!

Msimu wa wawekezaji wa mashambani ukiisha kuna administrative works kibao za kufanya, nyingi mno, what you wrote is never practical is just a pimped story!
 
Reactions: amu
Unanunua shamba unakua bize kupanda miti mpaka January/december....

Na February na March unakua bize na kuweka mbolea na na kupalilia...
Then katikati ya march hakuna kazi

April hakuna kazi.

May au June palizi ya pili.

August au Oct palizi ya tatu.

Then ukiangalia hapo ni miezi kibaoo hakuna cha kufanya.

Au unataka niwe shambani naangalia miti?

Halafu tunapanda miti hahitaji everyday management.

Chakujua.
Creating passive income does not need close supervision in management.
SIO mahindi haya kwamba muda wotee uwe shambani.

Ndio maana watu wananunua hisa = FINANCIAL MARKET ili wawe free huku money increase in value.

Huwa tunaenda shambani kucheki tu maisha ya miti na sio kila siku.
Na kumbuka ni miti kwa ule mwezi ambao hakuna kazi unaenda Mara 1 au 2 kucheki fungus au wadudu au kama kuna dalili LA less nutrients.

Ni hayo tu.


AMEN
Nadhani umeelewa.

#YNWA
 
Very true
 
Kwa hiyo mwaka mzima unalima zao moja tu? Mhhhh mkuu wewe kutoboa utapasikia mbinguni.
Mkulima mzuri yule wa kisasa anakuwa busy na anaratiba ya mazao ya mwaka mzima.
Mfano November upo iddle kwa maparachichi lakini huku unaanda shamba la zao lingine.
Ukiwa iddle sana kazi zimepungua unafungua hata vidarasa uchwara vya kilimo unapata 50,000 kwa kichwa.
Lakini nachojua kikubwa sana ukishasimama kwenye kilimo unasimamisha biashara ingine(side business inakupa back up) ila wewe umerelax sana.
Nauhakika huu uzi una mengine lakini si lengo hili.
Kama unalima pambana basi uwafikie wakina Sumri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…