Hii imekaaje mwanamke kudai haki hadharani

Hii imekaaje mwanamke kudai haki hadharani

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,758
Ni hivi unakuta mwamke anapiga simu kwenye daladala babe mambo mbona hujaja jana namie umeniacha na hamu zangu??

Kweli mkiachwa na wanaume wabaya sasa hapo umesemaje?? Unajiona nivizuri eh kwanini husijiheshimu ??

Wengine mpaka mnaita mashemeji mbele ya kadamnasi shem mbona jana hatukuonana ilikuwaje tena unasisitiza sasa ndoa zitadumuje au mahusiano??

Lini mtakuwa serious mtulie jamani ??

Eti MLIONAHIZO TABIA JIHESHIMUNI.

MNATUSHUSHIA HADI SISI HESHIMA
 
Ulitakiwa umseme huko huko ulipomuona angekuelewa kuliko kupoteza mda huku

yess BiShoo haswaaA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom