Hii imekaaje kwa kinadada wenye mvuto

Hii imekaaje kwa kinadada wenye mvuto

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
677
Reaction score
841
Habari wakuu,

Nimekua nikijiuliza kimya kimya pengine wanajukwaa mmebahatika kukutana na hili.

Miaka 3 iliopita wakati nipo chuoni nilianzisha urafiki na dada flani baada ya kuwa nikimsaidia kimasomo, kiukweli alikua mrembo wa sura mpaka mvuto kadri muda ulivyozidi kusonga nilianza kumfahamu kiundani na kugundua ana mtoto mdogo ambae amekua akimtunza bila usaidizi wa baba wa mtoto.

Huku mtaani pia mabinti wazuri wengi nao kutana nao ktk shughuli mbalimbali wengi wana watoto wakilea bila usaidizi wa baba( wanaita single mother)

Wanajukwaa hili suala lipo vipi kwa dada zetu hawa wenye urembo uliotukuka?
 
Tatizo la wadada weng wa hivyo huwa hawajilew yaan baada atafute mtu ambaye ni smart kichwan yeye anatafuta mwenye six park shalobalo ambaye hana mbele wala nyuma au muda mwingine huwa wanaangukia kwa waume za watu
 
Naunga mkono hoja wapo wengi sijui wamezalishwa na kina nani na kuwaacha,na je wameenda kuoa wanawake wengine hawa wanawaachia kina nani?
 
Ni roho mbaya tuu ya sisi wanaume inatusumbua!!! Papuchi tunaila ila ikifika hatua kashika mimba unamkana mwanamke!!
 
Tatizo la wadada weng wa hivyo huwa hawajilew yaan baada atafute mtu ambaye ni smart kichwan yeye anatafuta mwenye six park shalobalo ambaye hana mbele wala nyuma au muda mwingine huwa wanaangukia kwa waume za watu
sic park shalobalo>>>>SIX PACKS SHAROBARO
 
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu..nikiwa advance nilitokea kumkubali sana msichana mmoja mrembo haswaa..(mixer muirak na mmanyara).
Mimi nikiwa form 6 yeye form 5 nikijaribu kumfuatilia mpaka nikafikia stage natumia gia ya kumfundisha physical geography ili nitumie hiyo opportunity but it was failed. Cha ajabu na kustaajabisha alikuja kuliwa na teacher wa field kutoka udom tena darasani kwenye meza. (Ikawa bonge la scandal but the good things it was well solved by head master.
Baada ya kufika chuo nikiwa second year naye akapangiwa hapo hapo bahati nzuri (God is not athuman) nikaendelea na procedures za kumfukuzia maana alikua anakaa in campus while I was stayed off campus.
Nikiwa kwenye hizo processes about 5-6 months nikasikia kapewa ujauzito na SHAROBARO waliyekua nae first year.
So sad.
 
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu..nikiwa advance nilitokea kumkubali sana binti mmoja Mimi nikiwa form 6 yeye form 5 nikijaribu kumfuatilia mpaka nikafikia stage natumia gia ya kumfundisha physical geography ili nitumie hiyo opportunity but it was failed. Cha ajabu na kustaajabisha alikuja kuliwa na teacher wa field kutoka udom tena darasani kwenye meza. (Ikawa bonge la scandal but the good things it was well solved by head master.
Baada ya kufika chuo nikiwa second year naye akapangiwa hapo hapo bahati nzuri (God is not athuman) nikaendelea na procedures za kumfukuzia maana alikua anakaa in campus while I was stayed off campus.
Nikiwa kwenye hizo processes about 5-6 months nikasikia kapewa ujauzito na SHAROBARO waliyekua nae first year.
So sad
Una moyo
 
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe yanahangaika, enzi hizo saiv ni kinyume chake, wanaume wameshtuka mara nyingi hao wazuri waliotukuka hawanaga adabu ndoani
 
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe yanahangaika, enzi hizo saiv ni kinyume chake, wanaume wameshtuka mara nyingi hao wazuri waliotukuka hawanaga adabu ndoani
Kwel mkuu,wamebaki kwa kustarehesha tu Wanaume na siyo kuolewa
 
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe yanahangaika, enzi hizo saiv ni kinyume chake, wanaume wameshtuka mara nyingi hao wazuri waliotukuka hawanaga adabu ndoani
unaweza elezea zaidi kiundani
 
Back
Top Bottom