Utabomoa a people? Zanzibari s are a people, past,present and future.Atakaejaribu kutukwamisha tutambomoa-JPM
umeandika nini??hembu tuliza jazba na papara andika vizuri uelewekeUtabomoa a people? Zanzibari s are a people, past,present and future.
Kaenda kuwambia kuwa Serikali imeamua kupoteza pesa bure kisa wajanja wachache wameandaa bajeti ya kujipatia pesa kwa kisingizio cha kurudia uchaguzi,matokeo Zanzibar yanajulikana hakuna haja ya kurudia Uchaguzi ni bora wamtangaze Shein kuwa ni Rais wa milele na hao JWTZ wapo huko kuendeleza Udikteta, balozi wa Uingereza kaenda ikulu kumzuga Magufuli lakini chini kapeti hawakubaliani na kinachotendeka Zanzibar.Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?
Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k
Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
Zanzibar matokeo wanayo mifukoni kama Kikwete alivyofanya kule Dodoma.Acha kukurupukia mambo usiyoyafahamu.
Nani kakwambia uchaguzi wa marudio unakupiga kampeni?
Tafakari - chukua hatua.
Hata Zanzibar ni muhimu sana kuwajadili kwa nguvu kutokana Serikali kutumia Mabilion kujaribu kulazimisha Ushindi kwa Shein hizo pesa zingeweza kutumika kununua madawati na madawa Hosptalini.Tujadili being ya sukari hayo ya ziara huwezi kuyazungumzia maana hujui makusudio yake zaidi ya kutabiri tabiri. Magu kazuia sukari sasa watu vijijini wanaweka mananasi kwenye Maji kufanya chain, uswahilini maandazi na vitumbua bei juu. Lumumba jadilini hayo wananchi wanaumia
Tujadili bei ya sukari hayo ya ziara huwezi kuyazungumzia maana hujui makusudio yake zaidi ya kutabiri tabiri. Magu kazuia sukari sasa watu vijijini wanaweka mananasi kwenye Maji kufanya chai, uswahilini maandazi na vitumbua bei juu. Lumumba jadilini hayo wananchi wanaumia
Maalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?
Watu wanahangaika, mimi ningewashauri CUF wakubali tu kufanya Uchaguzi na wapige Kampeni kikweli kweli ili angalau labda wanaweza kufika mbali au nani anajua labda hata kuwemo kwenye Serikali ya Umoja na CCM lkn kususia ni kwamba CCM inachukuwa Uongozi kwa 100% na hakuna kitu CUF au fisadi Lowasa &Co. watafanya kwani kama ni Jeshi liko chini ya Raisi wa JMTZ na ameshasema uchaguzi urudiwe na atakayeleta fyoko basi atafyokolewa, na kama ni Wazungu ambao ndiyo walikuwa wanawategemea ndiyo hao tena wanakuja Ikulu kumpongeza Raisi Magufuli kwa kazi anayoifanya hii ni pamoja na uamuzi wa marudio uchaguzi wa Unguja na Pemba kesho pia mtamuona Mwakilishi wa EU anaenda Ikulu kwa Magufuli, balozi wa Ujapani, Marekani, Uchina n.k
Hivyo CUF na ukawa hakuna kitu mtafanya, kubalini tu yaishe aliyekuzidi kakuzidi tu, CCM wana Raisi hivyo wameshika mpini ndiyo hivyo tena, mkileta fyoko mtafyokolewa kama Besigye na hakuna kitu mtafanya!
we ndugu uko sawa?????Wacha tuumie lkn tutakuja kukaa sawa ni kawaida, hakuna kizuri kisicho na maumivu, hivyo wacha tuumie na kuumia tutumia sana lkn TanZania mpya na bora mwishowe itainuka!
KUUMIA???MIAKA YOTE ULIYOUMIA Haitoshi,......Wacha tuumie lkn tutakuja kukaa sawa ni kawaida,
Uungwaji mkono wa madai ya CUF kutoka EU, US na Japan yamevunjwa nguvu na matokeo ya uchaguzi wa Uganda ambapo demokrasia imebakwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Museveni amesema hana mpango wa kuwa na ukomo wa kugombea uraisMaalim Seif yuko Uingereza kushitaki kwa Wazungu kuhusu Unguja na Pemba hapo hapo Balozi wa Uingereza ambaye ndiye mwakilishi wa Serikali wa nchi hiyo leo katinga Ikulu kumsalimia Raisi Magufuli na kumletea salamu za pongezi ktk kwa Mkuu wa Serikali anayoiwakilisha hapa nchini, sasa Maalimu katumwa na fisadi Lowasa na wenzake huko Uingereza ni nani hata atawasikiliza?