Hii ikoje...?

Hii ikoje...?

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Mnisaidie lengo nini hasa.....?

10687049_842623432444113_6816373868482036702_n.jpg
 
Hao wamechanganyikiwa,sasa hivi ni mwendo wa mafisi na mambwa tu.
 
Ni kafara?

Au ni mkwara?

Watu wana vituko sana
 
Ngoja yanga na sisiem waje wanaweza kutuelewesha.
 
Kuza hiyo picha kuna tshert inapicha ya mkuu

swissme
 
wana wapa wapiga kura wanachotaka, maburudisho ya kuwaonyesha wanyama, muziki nk badala ya majadiliano na kufahamu sera za vyama vinavyogombea uchaguzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom