Hii Ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Ikoje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Safari_ni_Safari, Aug 27, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Iko vizuri tu. Inawezekana maiti iliokotwa kwahiyo hawajui alikufa lini. Ni vema ukakumbuka kuweka katika sala zako, kuomba kifo kizuri.....
  KUMBUKA: Ombeni nayi mtapewa
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  we ni choka mbaya kweli, kwa hiyo tuombe kifo kizuri sio?
   
 4. KML

  KML JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tuombe nasi tutapewa..wale waimbaji wa kwetu pazuri unawakumbuka??walidai wamepamiss kwao mbinguni then jamaa akawachukua sasa na wewe omba uone
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Jamaa ameshaandaa kaburi na Msalaba wake tayari..........
   
 6. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tatizo la mwanadamu kila anachopata analalamika waliimba wamepamisi kwao alipowachukua wakaimba kwanini ameyaruhusu haya yatokee
   
 7. w

  wikolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu Safari_ni_Safari umenikumbusha mbali sana kwa picha hiyo. Mahali hapo napafahamu vizuri, pamoja na mhusika pia.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Pole kaka....yalimsibu yepi Gilberto?
   
 9. w

  wikolo JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa si kwamba amefariki ni mzima kabisa. Ninavyomfahamu fani yake ni uchoraji na hiyo kitu ameibandika juu ya kibanda chake (ofisi yake) cha kazi!
   
Loading...