Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Mi niliduwaa siku moja nipo kwa anko nasikia shangazi anamsalimia shikamoo (seriously) na mjomba anaitikia. Ni kweli kamzidi umri lakini maana ya shikamoo inakujaje sasa wakati wanalala kitanda kimoja na hakuna wasichojuana?
Hao wanaheshimiana haswaa...waache
 
Hahhaha haya bwana
 
ni
Hao wanaheshimiana haswaa...waache
nini maana shikamoo ukijua hutashangaa ila pia shikamo zingine uwa za zarau baada ya kukaa na cku kazaa ndan na akaanza kuvuliwa chupi nje haki mama shikamoo huatiiskia
 
Sasa kama nimemzidi miaka 6 then kielimu na maarifa nimemzidi...yaani mimi ndio namuongoza kwa mengi kwanini asiniamkie Shkamoo? Tena kana sauti nzuri ya kitoto...kamoo

Ila ikija wakati wa shuhuli au hata chumbani tu anakuwa mkubwa ghafla.

Mapenzi bana....
 
Hahhaha haya bwana
Kweli huyo babaako mdogo kakudhibiti zile mambo xetu za tamutamu style za mbuzi kagoma kwenda huku unapitisha kwa mbele mkono unasugua kidizaib sijapata elimu hii tangu uache kuitoa...!

Nilimfanyia form six akapiga yowe kwa utamu...
 
very rare sana watu wa visiwani na pwani kuamkia shikamoo zaidi ya salam alykum!...

naichukia sana shikamoo! nikiwa dar napata tabu sana... nkienda tanga kila sehemu ninayo pita ni salam alykum haijalishi mkubwa wala mdogo nakuwa very comfortable
Pole Dear .. Just tell them about that kuwa hupendi in nice way , na wataelewa tuu next time ... That's why I said some Zanzibarian which means not all of them.. Nilishuhudia couples wanaamkiana baada ya hiyo asalam alekhuum ...That's why I have said that.. Thanks..
 

haha nakumbuka once nikiwa high school nilikwenda kulipa Ada ya mdogo wangu Bank, nikamkuta mama mtu mzima dirishani , she was a bank teller "HABIB BANK " sijui kama bado ipo ..au .. la.. !! alinilazimisha nimuamkie "shikamoo" nilikuwa mzito sana sijazoea kabisa , niliondoka sikumuamkia lakini nilijisikia vibaya! ..

nimekulia in a house my dad wants salam alyum or G`morning alipiga marufuku shikamoo...
 
Hiyo inatokea kwa watu wazima wengi tu mkuu...yaani huku bara usipomsalimia mtu mzima kwa kusema shkamoo basi sio nidhamu. Ila mashuga mamies na mashuga dadies hawaipendi wanaona kama ni kuzeeshwa.
 
Kama mke ndiyo amekupita miaka kama saba au nane hivi utamuamkia shikamoo?
 
Mi mchuchu kanizidi 10 years hata nijitahidi vipi kuacha kumsalimia najishtukia kishenzi
Nishazoea kumsalimia shkamoo na nikipotezea ananiambia haujambo hahaha so nasema sijambo shkamoo
safi snaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…